Tibaijuka amesema hawezi kuwashukuru wananchi wa jimbo lake kwa yeye kuwa Mbunge anazishukuru fedha zake kwani ndio zimempatia huo Ubunge, hiyo ndio CCM. Nasikia na kula Igunga Kafumu na yeye amewaaga wananchi wa Igunga kuwa kwa kuwa hawamtaki lakini ametumia fedha zake na kufanikiwa kupata Ubunge hivyo wasimtegemee anaondoka zake kuishi na familia yake Kule DSM.
Hao ndio wabunge wa CCM waliopita awamu hii na wako wengi sana wa aina hii, waliowachagua wataisoma namba sisi ambao hawakuwa chaguo letu tunaendesha maisha kama kawaida.