didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu mwenye anajua software au app nzuri ya kufanyia aptitude test atuandikie hapo chini au anayejua chochote kuhusu hio test atuambie hapo chini kwa manufaa ya vijana wanaowiwa kuomba BIG 4 hapo mwakani.