Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Ni kiongoziKwa hiyo aliyepo siyo kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiongoziKwa hiyo aliyepo siyo kiongozi?
Makonda ndio kiongozi wa nchi hii?Yupo makonda
C ndo wanasema ana uq kubwa kukiko watu wote according to ccmMakonda ndio kiongozi wa nchi hii?
My Take
Hizi kampuni za Matapeli zipigwe marufuku na Wale Wanaoshirikiana Wasakwe Popote Nchini Ili Wafurushwe hata kama Ni Watanzania.
Huu umegeuka ni upuuzi na dili za Vibaraka wa Mabeberu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAahLv9Iw7Y/?igsh=MW1sa3hwOGRuNGtwaA==
Lissu ndio mshauri wao mkuu,. Kama alivyokuwa anashauriana na Mwanyika akiwa Barrick, mpaka akadukuliwachiembe na wenzio, na hata huyu ChoiceVariable mnatamani sana kusema CDM wamehusika hapa.
😂😂C ndo wanasema ana uq kubwa kukiko watu wote according to ccm
Na Lissu ndio mshauri mkuu🙆♂️🙆♂️Kampuni zilizosajiliwa Mauritius au zenye Branch huko Nyingi ni za kitapeli wale waliokubuhu.
Thibitisha hili....Hawa ni watanzania wenzetu wanatupiga kwa mgongo wa makampuni ya kigeni ila ndio hivyo tumekosa kiongozi wa kuyasimamia haya.
Viongozi wa serikali hii chini ya CCM wana fursa ya kurekebisha mambo ili kuyafanya kuwa bora, lakini kwa hofu tu na woga wa kupoteza ulaji kupitia madaraka na mamlaka yao, wameshindwa na hawataki kuzitumia fursa hizi...!Hawa ni watanzania wenzetu wanatupiga kwa mgongo wa makampuni ya kigeni ila ndio hivyo tumekosa kiongozi wa kuyasimamia haya.
Shule hakuna kicwani si unajua ni wazeee kwa KKKInasoma 1.3 Trilioni wewe umesema Billion
Katiba na mambo ya utapeli wapi na wapi?Viongozi wa serikali hii chini ya CCM wana fursa ya kurekebisha mambo ili kuyafanya kuwa bora, lakini kwa hofu tu na woga wa kupoteza ulaji kupitia madaraka na mamlaka yao, wameshindwa na hawataki kuzitumia fursa hizi...!
Chanzo cha matatizo yetu haya yote yanaanzia kwenye udhaifu wa mfumo wetu wa kikatiba na kisheria. Lakini tukipata kiongozi anayeweza kuweka maslahi yake binafsi pembeni akakubali tufanye constitutional reforms, atakuwa ametatua robo tatu ya matatizo ya umasikini wetu na hivyo ujinga huu kupungua kama si kwisha kabisa...
Una maanisha nini?chiembe na wenzio, na hata huyu ChoiceVariable mnatamani sana kusema CDM wamehusika hapa.
Unaniandama sana mkuuThibitisha hili....
Hivi hadi Leo hayo makampuni bado hayajui kwamba Tanzania ni nchi yenye utawala wenye itikadi ya Kikomunisti/ujamaa??
Uzoefu kutoka duniani kote unaonyesha na kuthibitisha kwamba hakuna uwekezaji wa maana ambao unaweza kuwa economically viable kwenye nchi ambayo ina utawala wa kikomunisti,
Walipataje huo utajiri kama unasema huwezi kuendelea kama unafuata ukomunisti?ndio maana unaona hata raia matajiri wengi Sana kutoka nchi Kama Urusi au China wanazikimbia nchi zao na kwenda kuwekeza kwenye nchi zingine zisizokuwa na itikadi za ukomunisti.
Yawezekana sana tu ni wajinga. Unaacha nchi yako na wananchi wako kwenda kuwatajirisha wengine? Huo ndio mchango wake kwa Jamii? Kutelekeza watu waliomjenga?Wanafikiri matajiri hao ni wajinga??