Aquamation: Utaratibu uliotumiwa 'kuuyeyusha' mwili wa Hayati Desmond Tutu

Aquamation: Utaratibu uliotumiwa 'kuuyeyusha' mwili wa Hayati Desmond Tutu

Tunakoelekea hata hiyo imani yenyewe itabaki na wafuasi wachache sana,,

Sasa kama huyu alikuwa ni Archbishop mbona kaamua hivyo?
Hilo ndio nilikuwa nataka kujua au kwa wakristo wengi ni sawa tu

Najua kila mmoja na uamuzi wake hata akisokotwa na ngozi sawa tu ila kwa Tutu mmh
 
Mazishi mengine magumu sans. Mara uchomwe mara uyeyushwe....

Tabu tupu
 
Kwani imani yake au dini yake inaruhusu hii kitu hebu mnieleweshe
 

Hapo hujajibu bali umenipa link tu nyingine
Swali ni je Christians wanakubali cremation
Mbona wanaamini kufufuka siku ya mwisho ?
Anyway Asante kwa link hiyo pia
 
Swali zuri Sana hili ,,wakristo wengi huwa against kitabu anachokiamini.
They are basing much on spiritual arena rather than practical...yaan unayaamin maandishi halafu huyafuati...inachanganya Sana hi.
Lakini pia ukibase kwenye maandiko bila kuzingatia mtindo/utaratibu/mazingira ya dunia unakuwa umekariri bila kuelewa

Maandiko ya kiimani ni falsafa ya hali ya juu kuwezesha maisha ya duniani hivyo hutenganishi imani na mwenendo mwema wa maisha ya duniani.

Huwezi kukamata maandiko huku hujali uharibifu wa mazingira, Utakuwa mbinafsi na usiyeelewa unachoamini kinataka nini.

Kuna mambo yalifanyika ndani ya vitabu si dhambi ukiachana nayo sasa kwa mazingira ya sasa kwa sababu huenda yalifanyika wakati ule au mahali pale kulingana na wakati na mazingira husika

Ndio maana kuna watu wanaamini mavazi fulani ni ya imani fulani kumbe chimbuko la imani hiyo linatumia mavazi hayo kulingana na mazingira
 
Si kila jambo lazima imani yako ikuruhusu

Tutafanya dunia kuwa ngumu

Huenda unaweza kuwa sahihi kwa hilo ila sio kwa hadhi aliyokuwa nayo
Lakini hayo ylikuwa maamuzi yake
 
Hapo hujajibu bali umenipa link tu nyingine
Swali ni je Christians wanakubali cremation
Mbona wanaamini kufufuka siku ya mwisho ?
Anyway Asante kwa link hiyo pia
Kuchoma moto ni baadhi ya imani Tu.
Hivyo yeye imani yake inaamini katika kuchomwa moto ili majivu kuhifadhiwa katika kanisa.
 
Back
Top Bottom