Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho

Kamanda pole sana bwana wanenda kujenga[emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 mumepata kura nyingi basi milion 1.5
 
Hapana mkuu wao wasimamizi tu ila wajenzi ni wataalamu wa kizungu na kichina...kama ilivyo kwa bwawa linalojengwa Ethiopia mchina ndo msimamizi ila wataalamu ni wazungu na wachina wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliogopeshwa sana kwa sababu nachojua Waarabu kwenye rank ya IQ kutokana na race na muonekano waarabu wanashika nafasi ya pili kutoka mwisho wakati huo WEUSI AU WAAFRIKA TUPO NAMBA MOJA KAMA KAWAIDA YETU.
RACE YENYE MADISHI WENGI
1.AFRICA/WEUSI
2.WAARABU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaanh mkuu lakini ukweli ni kuwa waarabu ni wasimamizi wa tenda wajenzi ni hao RAIA wa kizungu na kichina...mji yao ya kifahari ya falme za kiarabu imejengwa na maengineering wa kizungu na kichina ila tenda ni za kampuni za kiarabu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma kaka hapo mimi nilitaka kukuelezea kwa nini niliwa doubt waarabu? Kwa sababu najua research zimewaterm kama watu gani yaani waaarabu wazuri kwa biashara sio craft.ila africa zero kote kote craft na biashara pia hatuziwezi angalia hata mfano hapa nchini wenye business entities kubwa wote ni race za kiarabu.
Mengi muweke pembeni kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…