Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaanhNimekusoma kaka hapo mimi nilitaka kukuelezea kwa nini niliwa doubt waarabu? Kwa sababu najua research zimewaterm kama watu gani yaani waaarabu wazuri kwa biashara sio craft.ila africa zero kote kote craft na biashara pia hatuziwezi angalia hata mfano hapa nchini wenye business entities kubwa wote ni race za kiarabu.
Mengi muweke pembeni kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HONGERA SANA SANA RAIS Dr.John Pombe MAGUFULI,Naomba uhakikishe Mradi huu unakamilika kwa wakati ikiwezekana hata kabla ya wakati,ni Project ambayo utaacha kumbukumbu ya vizazi na vizazi,na ni kitu kinachoonekana,na kinawagusa watanzania wengi 90%.Ikibidi wafanye Usiku na Mchana wamalize kabla ya wakati hata BONUS UWAPE. INAWAGUSA WANANCHI WA VIPATO VYOTE.Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
View attachment 1021305
Wewe ndo unawaza hayo wenzio walaaa hatuyawazi maana tushajiongeza.Kila siku anazindua lakini kila siku graph yake inashuka.
Leo hii watanzania wala hawana habari na dreamliner wala Bombardier bali wanawaza ajira, mishahara duni, inflation, shida za maji, mikopo elimu ya juu, utekaji, mauji,shambulio la Lissu, mateso ya wakulima wa korosho,n.k.
Mazingira je?HONGERA SANA SANA RAIS Dr.John Pombe MAGUFULI,Naomba uhakikishe Mradi huu unakamilika kwa wakati ikiwezekana hata kabla ya wakati,ni Project ambayo utaacha kumbukumbu ya vizazi na vizazi,na ni kitu kinachoonekana,na kinawagusa watanzania wengi 90%.Ikibidi wafanye Usiku na Mchana wamalize kabla ya wakati hata BONUS UWAPE. INAWAGUSA WANANCHI WA VIPATO VYOTE.
kila siku wanatoa povu ila mambo bado yanaenda wamefika kujikomba hadi kwa wazungu ila JPM mziki ni ule ule
Maendeleo Hayana Chama
Kwasasa Tanzania Itawasha Umeme Kila Kona
utaumia sana mkuu,kaa pembeni tupisheMpendasifa lazima atahutubia live
pambana na hali yakoMziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.
Hatutataki watu wasiojali shida na mateso ya watu wengine.
Hatutaki watu wasiothamini ustawai wa maisha ya watu huku wakithamini ustwai wa vitu maana hata kina Hitler na wakoloni pia walileta maendeleo ya vitu ila walipuuza utu wa watu na leo hawakumbukiwi kwa maendeleo ya vitu bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu.
mnafanya sherehe ya kukabidhi eneo la ujenzi je umeme ukiwaka mtafanya nini?
Mziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.
Hatutataki watu wasiojali shida na mateso ya watu wengine.
Hatutaki watu wasiothamini ustawai wa maisha ya watu huku wakithamini ustwai wa vitu maana hata kina Hitler na wakoloni pia walileta maendeleo ya vitu ila walipuuza utu wa watu na leo hawakumbukiwi kwa maendeleo ya vitu bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu.
Nyie matako mtapata tabu sana , uliza na reli ikikamilika mtafanya nn?mnafanya sherehe ya kukabidhi eneo la ujenzi je umeme ukiwaka mtafanya nini?
Hakuna maisha ya watu pasipo uwepo wa vitu. Hao wanachangia bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 50 walianza kuimarisha vitu ndipo wakawa na uwezo wa kuboresha maisha ya watu.Mziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.
Hatutataki watu wasiojali shida na mateso ya watu wengine.
Hatutaki watu wasiothamini ustawai wa maisha ya watu huku wakithamini ustwai wa vitu maana hata kina Hitler na wakoloni pia walileta maendeleo ya vitu ila walipuuza utu wa watu na leo hawakumbukiwi kwa maendeleo ya vitu bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu.
Heeeeeeee! Trump kabomoa nini?Nikiingia madarakani nalibomoa. Nafanya kama Trump.
Dada maendeleo yanaletwa na vitu, hata wewe kwa mumueo ulivutiwa na vitu ndio maana ukamkubali kuolewa nae.Mziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.
Hatutataki watu wasiojali shida na mateso ya watu wengine.
Hatutaki watu wasiothamini ustawai wa maisha ya watu huku wakithamini ustwai wa vitu maana hata kina Hitler na wakoloni pia walileta maendeleo ya vitu ila walipuuza utu wa watu na leo hawakumbukiwi kwa maendeleo ya vitu bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu.
Huna akili , haujui hata idadi ya watanzania watakao ajiliwa paleHaya ndio wanayaweza
Ukiwauliza wamepunguzaje ukosefu wa ajira nchini hawana majibu
Wameboreshaje maisha ya Watanzania hawana majibu
Sent using Jamii Forums mobile app