Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho

Nikiingia madarakani nalibomoa. Nafanya kama Trump.
 
Yaanh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
View attachment 1021305
HONGERA SANA SANA RAIS Dr.John Pombe MAGUFULI,Naomba uhakikishe Mradi huu unakamilika kwa wakati ikiwezekana hata kabla ya wakati,ni Project ambayo utaacha kumbukumbu ya vizazi na vizazi,na ni kitu kinachoonekana,na kinawagusa watanzania wengi 90%.Ikibidi wafanye Usiku na Mchana wamalize kabla ya wakati hata BONUS UWAPE. INAWAGUSA WANANCHI WA VIPATO VYOTE.
 
Wewe ndo unawaza hayo wenzio walaaa hatuyawazi maana tushajiongeza.

Mwanaume mzima unakaa unawaza kuajiriwa! Kusubiri uongezewe mshahara bila kazi ulofanya hata ikija serikali ya mbinguni utabaki hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pambana na hali yako
 
 
Live itasababisha watu wasifanye kazi,au bunge limeruhusiwa
 
Hakuna maisha ya watu pasipo uwepo wa vitu. Hao wanachangia bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 50 walianza kuimarisha vitu ndipo wakawa na uwezo wa kuboresha maisha ya watu.

Jiulize mwaka 1884 wazungu waliweza kuijua ramani nzima ya afrika kama sio kwa mchango wa maendeleo ya vitu?.

Maendeleo yako wewe unatafuta wewe na ndugu zako, wanaokuongoza wanaweka misingi ya wewe kuweza kupiga hatua ya kimaisha.
 
Endeleeni kuuza nchi
RICHMOND
ESCROW
IPTL
ARAB CONTRACTORS
NEXT.......
TANESCO IKO SHIDA
NANI ALITULOGA?
Kila anayekuja anakamata yake
UFISADI IN A MOVE
Let's wait n see!
 
Dada maendeleo yanaletwa na vitu, hata wewe kwa mumueo ulivutiwa na vitu ndio maana ukamkubali kuolewa nae.

Hivyo vitu ninavyiongelea hapa ndio vitega uchumi vya kukufanya uende chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…