Huo ni mchoro acha mchecheto. Hata mleta uzi kasema wamelipwa hajasema ujenzi umefikia hapo. Kaweka picha ya archtectHiyo picha ya uongo watu wametoka juzi ni nyumba za mjerumani wanazirekibisha TB A Ili hao waarabu wakae mambo Bado kabisa
Watu wengi nchi hii wajinga sana bro.Ulitaka tuendelee kulipa capacity charge kwenye umeme wa kifisadi?
Kupanda madaraja na mishahara husika ilipwe, sio mtumishi anapanda daraja lakini nyongeza inaendelea kulimbikizwa tu. Na kuna tofauti kubwa ya mishahara kati ya watumishi. Salary harmonisation lazima ifanyike. Ajabu ni kwamba watumishi mumekaa kimya hamjitete mnasubiri kufikiriwa na serikali.Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Jogoo awike asiwiwike kuna kuchwa!Jamaa wameuchunia uzi.
Si kweli, una ajendabya siri.Jamaa wameuchunia uzi.
Mkuu hii aliyolipwa ni advance payment na ni karibia 10% ya gharama ya mradi mzima.Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
Mkuu narudia jitahidi kuelewa mantiki ya jibu ulilopewa.Kijana huna Adabu, unaniita Layman baba yako? Pumbavu saana wewe!
Ni kweili, hili ni jambo kubwa sana katika historia ya nchi yetu lakini uzi toka jana una posti 40 tuu, huoni tatizo? Watu hawataki kusikia mazuri ya nchi yetu, wamenuna, wamezira, hawataki kuona Magu akifanikiwa. Hawa watu wawapi hawa?Si kweli, una ajendabya siri.
Acha mzee wa Kazi Magufuli apige kazi.
Kwani kwenye ununuzi wa ndege zimelipwa shilingi ngapi?View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.
Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.
Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.
Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
Mkuu mimi nime quote what is common knowledge, na kama ilivyotangazwa kwenye vyombo vya habari.Kwani kwenye ununuzi wa ndege zimelipwa shilingi ngapi?
Mkuu si kwamba watu hawataki, kuna suala la uelewa impact ya venture hii.Ni kweili, hili ni jambo kubwa sana katika historia ya nchi yetu lakini uzi toka jana una posti 40 tuu, huoni tatizo? Watu hawataki kusikia mazuri ya nchi yetu, wamenuna, wamezira, hawataki kuona Magu akifanikiwa. Hawa watu wawapi hawa?
Mchawi utamjua kwa ghubu lakeNi vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
Wapi alisema ni pesa za mkopo, watoa mikopo walikataa kumpa kwasababu ya mazingira , wewe habari za mkopo umezitoa wapi?Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
Wapi alisema ni pesa za mkopo, watoa mikopo walikataa kumpa kwasababu ya mazingira , wewe habari za mkopo umezitoa wapi?
Lazima, kwani wewe ndo unatoa pesa?Ni hivi, mkopo kwa hiyo project ni lazima, vinginevyo hawezi kumaliza ndani ya miezi 36 kwa fedha za ndani fullstop.
Lazima, kwani wewe ndo unatoa pesa?
Wewe kama unachuki zako kwa Magufuli kwa kuzuia uharamia kwenye utalii na ujangili hama nchi.Ndio, kupitia kodi.