Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

Hiyo picha ya uongo watu wametoka juzi ni nyumba za mjerumani wanazirekibisha TB A Ili hao waarabu wakae mambo Bado kabisa
Huo ni mchoro acha mchecheto. Hata mleta uzi kasema wamelipwa hajasema ujenzi umefikia hapo. Kaweka picha ya archtect
 
Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Kupanda madaraja na mishahara husika ilipwe, sio mtumishi anapanda daraja lakini nyongeza inaendelea kulimbikizwa tu. Na kuna tofauti kubwa ya mishahara kati ya watumishi. Salary harmonisation lazima ifanyike. Ajabu ni kwamba watumishi mumekaa kimya hamjitete mnasubiri kufikiriwa na serikali.
 
badilisha kichwa cha bandiko. andila Uharibifu Stiegler's Gorge waanza
 
Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
Mkuu hii aliyolipwa ni advance payment na ni karibia 10% ya gharama ya mradi mzima.
 
Si kweli, una ajendabya siri.
Acha mzee wa Kazi Magufuli apige kazi.
Ni kweili, hili ni jambo kubwa sana katika historia ya nchi yetu lakini uzi toka jana una posti 40 tuu, huoni tatizo? Watu hawataki kusikia mazuri ya nchi yetu, wamenuna, wamezira, hawataki kuona Magu akifanikiwa. Hawa watu wawapi hawa?
 
View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.

Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.

Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.

Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
Kwani kwenye ununuzi wa ndege zimelipwa shilingi ngapi?
 
Ni kweili, hili ni jambo kubwa sana katika historia ya nchi yetu lakini uzi toka jana una posti 40 tuu, huoni tatizo? Watu hawataki kusikia mazuri ya nchi yetu, wamenuna, wamezira, hawataki kuona Magu akifanikiwa. Hawa watu wawapi hawa?
Mkuu si kwamba watu hawataki, kuna suala la uelewa impact ya venture hii.
 
Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiki?
Mchawi utamjua kwa ghubu lake
 
Wapi alisema ni pesa za mkopo, watoa mikopo walikataa kumpa kwasababu ya mazingira , wewe habari za mkopo umezitoa wapi?
 
Ni hivi, mkopo kwa hiyo project ni lazima, vinginevyo hawezi kumaliza ndani ya miezi 36 kwa fedha za ndani fullstop.
 
Back
Top Bottom