figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
amahangaiko ga mujini ngambuza omwanya gwo kwija omu jf. Aisee aka akaisiki ninkagonza mno
amahangaiko ga mujini ngambuza omwanya gwo kwija omu jf. Aisee aka akaisiki ninkagonza mno
maisha mabaya utadhani digidigi anamuhofia simba
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi jema zaidi ya kumwambia mtu "NAKUPENDA"
hivi wewe mswati unadhani masihara narudia tena NAMPENDA sana Arabela
Alishatupwa kulee siku nyingi mkuu!
Okey nimekuelewa ila nilishaandaa bomu la kurusha nikufanyie finishing! Nakuomba umtonye huyu nitonye kuwa akiona vinang'aa vimeng'arishwa.