Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

Ina maana lile jinamizi la kuachika na sweetlady ndio unataka kulihamishia kwa binti mrembo Arabela! You must be inscene! Nenda kafuatilie DNA ya mtoto kwa mtalaka wako kwanza. Niache nijivinjari na mtoto wa kitanga mie!

Chezeiya kuachwa wewe Filipo
 
Last edited by a moderator:
ahsante kwa tuition......turudi kwenye mada Arabela kwa nini unamtesa nitonye au kwa vile Ana sura utadhani utotoni aligongwa na treni?

Hahahaha...... Angekuwa na hela angalau zingemsaidia ku dilute hiyo sura Bishanga...... Tatizo hana hata mia lol
 
Last edited by a moderator:
Arabela popote ulipo....salamu zangu zingalipo.....upitapo mwingi upepo.....sie bado tungalipo....yatupite mbali mapepo....hadi tuione pepo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…