Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

"Mpaka Bodi ya Ligi ieleze imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo na kuruhusu mchezo wa Pamba jiji kuendelea, kunyang'anya alama JKT Queens na Biashara utd"
Kanuni ya wataalam wa tunguli kikubwa tukio la leo wamefanikiwa kulikwepesha....hayo ya mbele hayana umuhimu aidha mechi iwekwe tarehe nyingine au watu wapewe point ila kitaalam kwa leo kuna mtu kaumia
 
Mie nadhan angeanza kukataa pale jumba jeupe pale waliposhibishwa ubwabwa na kupewa amri ktk sakata la Fei kubwa
 
Pande zote tatu yaani hao pacha na aliye katikati yao tokea 1998 niliachaga kuwaini hata kwa 1 second na nikaachaga kushaabikia kabumbu.
Bora kubaki kushaabikia soccer tu.

Binafisi nimefurahi walivyowakomesha wenye kieleele cha kusafiri kutoka mbali eti kwa ajili ya hiyo game.
 
Yaani
Bodi ya Ligi awe Utopolo
Mwamuzi wa kati Uto
Waamuzi namba 1 na 2 Uto
Kamisaa Uto
Halafu MC uto

Kweli Yanga ni Utopolo, hakuna mwenye akili isipokuwa wawili tu na sijui kwanini hawawastui.

Ngoja tusubiri tarehe mpya ipangwe na mshikilie hizo ngonjera zenu kwamba mmemaliza mechi ya derby. Mtayakana maneno yenu vyura nyie mnaropoka tu kama mko kwenye madimbwi.
 
Unajua Manara akili hana 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka, eti vizee vyote vifupi, mbuzi wanalia mee meee.
🤣😂😃 naogopa kusema mtani.

Ila tu ukishakuwa Utopolo akili zinaruka ndio maana HANA AKILI.

Hama, hamia Ubaya Ubwela mtani upate akili 😂😂
 
Sasa hii derby kacheza na mabaunsa?
 
Hii mechi mtacheza tu, kama kuna shabiki wa Uto ana kibunda tuweke laki na hamsini msimu ukimalizika bila mechi kuchezwa anaondoka nayo. Hakuna namna nyingine hili suala litaisha bila hii mechi kuchezwa.

Mtapewa supu na chapati mbili mnalainika.
 
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Halafu wewe si Kuna mahali nilisoma humu kua umeokoka sijui..tangu lini mentally ill patient akaokoka..
Wewe ni matako fala wewe
 
Mama atawaambia nendeni uwanjani acheni malumbano.
Acheni utoto mwingi
 
Jambo Moja liko wazi Yanga wanastahili points zao 3 na magoli 3.
Kinyume na hapo Bodi ya ligi na TFF wajiuzulu kwanza kupatikane viongozi wapya watakao Mudu kusimamia tasnia hii Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…