Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosi la YANGA hata achezeshe nani ushindi ni lazima.Yanga wajiandae kisaikolojia. Huyu ni mmoja wa wale waamuzi wa michongo walio ibeba sana simba msimu uliopita kwenye haya mashindano.
Bila shaka Karia na TFF yake wamefanya makusudi kuchezesha hii mechi ili kuiumiza Yanga.
Tuandamane mapema kwenda Ikulu kwa mama Kabla mambo hayajaharibikaYanga wajiandae kisaikolojia. Huyu ni mmoja wa wale waamuzi wa michongo walio ibeba sana simba msimu uliopita kwenye haya mashindano.
Bila shaka Karia na TFF yake wamefanya makusudi kumpa hii mechi ili kuiumiza Yanga au kuitoa mchezoni.
Mapema hivi mnalialia?Yanga wajiandae kisaikolojia. Huyu ni mmoja wa wale waamuzi wa michongo walio ibeba sana simba msimu uliopita kwenye haya mashindano.
Bila shaka Karia na TFF yake wamefanya makusudi kumpa hii mechi ili kuiumiza Yanga au kuitoa mchezoni.
Ana beji ya fifa.Huyu Elly sasii kwanini lazima awekqe kwenye game za simba au yanga?hakuna waamuzi wengine?pamoja na madhaifu yake bado anaonekana ni mtu muhimu,ni nani mkubwa aliye nyuma yake?
kwanini wasimweke Frank Komba huyo aliyeitwa hadi AFCON? Halafu kila siku marefa wale wale wa mechi za watani wa jadi.Huyu Elly sasii kwanini lazima awekqe kwenye game za simba au yanga?hakuna waamuzi wengine?pamoja na madhaifu yake bado anaonekana ni mtu muhimu,ni nani mkubwa aliye nyuma yake?
Simba Kwa Sasa wanajikongoja, Kocha Franco amekosa Mbinu Kabisa ya kuwa na First 11 wake, anatapatapa, Yanga Wana Kiu ya Ushindi. So Tusubiri Dakika Tisini.Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
View attachment 2238560