Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
wanapewa maelekezo na JK washindwe kesi, hizi kampuni ni za RostamNdio tutafute majibu kwanini wanahongwa?
Asiyekubali kushindwa si mshindani, si lazima iwe rushwa ingawa ni kweli inawezekana si tuna wasaliti hata vyama vya siasa Rais mtarajiwa? Lakini si kweli hatujashinda, nyingi tunashinda hata Mahakamani hawaendi.Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.
Kama mikataba yenu ni ya ovyo kwa vipengele mnataka mshinde?kwanini tusiwapeleke akina Shivji, Lissu, Kibatala, Chenge n.k kwenye hizi kesi?
wakasaidie maana wanaopelekwa huko ni aibu tupuKama mikataba yenu ni ya ovyo kwa vipengele mnataka mshinde?
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Hizi ni deal za akina Rostam na JK... miaka mitano ijayo suala la DP World litakapokuwa mahakama za kimataifa tutajilaumu wanasheria kuhongwa kweli? Mbona mwisho unaonekana wazi wazi utakavyokuwa?
Magufuli alituambia Profesa ni Tiss, vipi siku hizi Tiss wanakula mlungula?Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.
Baba Askofu,you nailed it.Magufuli alituambia Profesa ni Tiss, vipi siku hizi Tiss wanakula mlungula?
MKATABA MBOVU WAITIA KITANZI TANZANIA
Ndugu Watanzania!
Video hii ni sehemu ya Kesi ya Madini kati ya Tanzania na Kampuni ya Winshear Gold Corp. Mkataba wa Madini uliosainiwa mwaka 2014 na Waziri wa Nishati na Madini enzi hizo ndio unaobishaniwa hapa. Katika safu ya utetezi, Tanzania ilimpeleka Prof. Abdulkarim Mruma kuwa sehemu ya utetezi. Pamoja na umahiri na usomi wake, Prof. Mruma, hajafua dafu kwani vifungu vya mkataba vinaiumbua Serikali ya Tanzania.
Wakili msomi upande wa Winshear Gold Corp anamhoji Prof. Mruma kuwa inawezekanaje huo mchakato uliopita mikono ya wengi kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Sheria, Kituo cha Uwekezaji cha Tanzania na wasomi wabobezi wa madini kama Prof. Mruma hawakuyabaini hayo mapungufu ndani ya mkataba? Swali hilo alishindwa kujibu Prof. Mruma, hivyo akaishia 'kulenga shabaha mwituni'!
Tunachotaka kusema ni kuwa, kama serikali ikisaini mkataba mbovu, huko mbele ya safari hata ikipeleka wasomi 100 wenye uwezo kama wa Prof. PL Lumumba, Mhe. Tundu Lissu, Peter Kibatara, Dkt. Masumbuko Lamwai (RIP), Prof. Jwani Mwaikusa (RIP), Dkt. Sengondo Mvungi (RIP), nk itapigwa tu.
Tunapohoji na kuupinga Mkataba wa Bandari muwe mnatuelewa. Waambieni Dkt. Tulia, Prof. Mbarawa, Maulidi Kitenge, Cd. Chongolo, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali waipitie vizuri video hii. Lakini tutamuomba Gerson Msigwa amuonyeshe Mhe. Rais Samia clip hii. Lakini majibu ya Prof. Mruma yanaonyesha wahusika walipitia mchakato wote. Swali linalojitokeza kwetu sote ni kwa nini serikali iliusaini? Kama ni hivyo, ni kwa nini Serikali iliuvunja baadaye?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 24 Julai 2023; 15:40 pm.
Uchu wa mali?Ndio tutafute majibu kwanini wanahongwa?
Je hatuna mechanism ya kuwatambua waliohongwa Ili watiwe Kitanzi?Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.
Kada mnakazi...Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.