Arbitration nyingi za kimataifa wanasheria wanaotetea Tanzania huhongwa ili tushindwe?

Arbitration nyingi za kimataifa wanasheria wanaotetea Tanzania huhongwa ili tushindwe?

Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Kama wanaona 'wakubwa' waliopitsha mikataba hii walipitisha kwa rushwa na hongo kwanini nao wasichukue rushwa na hongo ili iwe 'potelea mbali'? Ni tafakuri tu wajameni
 
Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.

Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?

Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.

Wananchi tupo njia panda kabisa.
Kama hapa unafikiri huyu yuko sawa kweli anatumia akili yake?? Au kaazimwa

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.

Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?

Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.

Wananchi tupo njia panda kabisa.
Kuwalaumu Wanasheria alafu mkiacha wanasiasa wanaolazimisha kuvunja mikataba kwa utashi wao tu ili wapate sifa za kijinga ni ujinga uliotukuka
 
Kwa nini tusiseme tunashindwa kwa sababu ni vilaza
Kwa nini tusiseme tunashindwa kwa sababu ya makosa yetu.
Mkataba uvunje kwa utashi tu wa mtu ili apate sifa za kisiasa alafu me kuwalaumu wanasheria?

Kweli mwafrika anaweza akawa katokea kwa nyani!
 
Kwa sisi watz tulivyo wabinafsi.. yote yanawezekana tena naamini hizi tetesi kwa asilimia kubwa, japo upande mwingine naona wanasheria wetu aidha ni vilaza ama serikali imetoa maboko kweli, ila kwa trend ya ubinafsi(chukua chako mapema) naamini hizi tetesi kwa asilimia nyingi tu.
 
Shida IPO kwenye kuingia hiyo mikataba ebu fikiria mkataba kama huu wa DP WORLD kama inatokea unataka kuvunja utaenda kushinda kwenye mahakama ipi duniani? Tatizo lipo kwenye vipengele vya mikataba
 
Akili ya kawaida inahitaji logic na facts kufikia uamuzi.
Changamoto kubwa inayowapata ni kwamba maamuzi mengi yalifanyika kwa msukumo wa kisiasa ambapo viongozi wengi wa kisiasa wana madaraka lakini hawatumii akili.
Ni hatari sana mtu asiyetumia akili anapopata madaraka.
Madaraka hulevya, sasa ukichanganya na ukosefu wa fikra nzuri, matokeo ni balaa tupu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Me nahisi tatizo ni mika

Tatizo ni mikataba
 
Me nahisi tatizo ni mika

Tatizo ni mikataba
Ndiyo, tatizo ni mikataba inayofikiwa kwa msukumo wa kisiasa.
Wakubwa wa kisiasa wanaweza wakawa na nia njema mwanzoni, lakini kwa sababu wapambe wengi ni watu wasiotumia akili (mpambe kindakindaki ni lazima aweke akili yake pembeni au we hana za kutosha).
Wanaojuana, watoto wa vigogo, wapambe, au wanaojitoa ufahamu ndiyo hupata teuzi kwa urahisi na mwisho kuwa kwenye nafasi za maamuzi.
Wakati mwingine hawajui hata bei ya unga, mkate, mafuta hata nauli za mabasi.
Lazima kuwepo na social mobility (watu wa lower social class wapande and vise versa), kwa mustakabali mwema wa taifa.
Akili ni za kurithi au asili, hivyo kunatakiwa kuwa na regulatory system ya kuangalia watu wenye upeo mpana na siyo vyeti tu (ambavyo hununuliwa pia kujustify) au kujuana, undugu na urafiki.
 
Mmewanyanganya watu leseni kwa ubabe

Mmewatoa watu mashamba yao mkawapa Azam

Kampuni imebakiza miaka 1 imalize mkataba mkaifutia mkataba

Hivi hapo mnatafuta mchawi tena?

Je mawasilisho nayo yalihongwa?
 
Mkataba uvunje kwa utashi tu wa mtu ili apate sifa za kisiasa alafu me kuwalaumu wanasheria?

Kweli mwafrika anaweza akawa katokea kwa nyani!
Ndio maana nikasema kwa nini tusiseme tumeshindwa kwa sababu ya makosa yetu (hao waliovunja mikataba kienyeji) bila kufuta taratibu.
 
Back
Top Bottom