pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kama wanaona 'wakubwa' waliopitsha mikataba hii walipitisha kwa rushwa na hongo kwanini nao wasichukue rushwa na hongo ili iwe 'potelea mbali'? Ni tafakuri tu wajameniKuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Msipomtaja JK mnaonaga kama siku zenu hazijaisha vilewanapewa maelekezo na JK washindwe kesi, hizi kampuni ni za Rostam
Kama hapa unafikiri huyu yuko sawa kweli anatumia akili yake?? Au kaazimwaKuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.
Kuwalaumu Wanasheria alafu mkiacha wanasiasa wanaolazimisha kuvunja mikataba kwa utashi wao tu ili wapate sifa za kijinga ni ujinga uliotukukaKuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakali wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka malalamikaji.
Huuu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo serikali nilingia mikataba mibovu baadae kuvunja tunashindwa.
Wananchi tupo njia panda kabisa.
Aliyeingia hii mikataba ya kijinga ni nani?Msipomtaja JK mnaonaga kama siku zenu hazijaisha vile
Mkataba uvunje kwa utashi tu wa mtu ili apate sifa za kisiasa alafu me kuwalaumu wanasheria?Kwa nini tusiseme tunashindwa kwa sababu ni vilaza
Kwa nini tusiseme tunashindwa kwa sababu ya makosa yetu.
Nani kasema huo mkataba ni wa kijinga?Aliyeingia hii mikataba ya kijinga ni nani?
Kama siyo ya kijinga kwanini tunashindwa kesi?Nani kasema huo mkataba ni wa kijinga?
Unavunja mkataba kwa sifa zako tu kwa nini ushinde kesi?Kama siyo ya kijinga kwanini tunashindwa kesi?
Huyu Mruma wakati wa JK ndiyo aliingia hii mikataba wakati wa JPM ndiyo alishauri ivunjwe na akaonekana ni shujaa, hivi kwa akili yako unaona hii kitu ni sawa?Unavunja mkataba kwa sifa zako tu kwa nini ushinde kesi?
Tuwalaumu wanaongia mikataba ya hovyoKuwalaumu Wanasheria alafu mkiacha wanasiasa wanaolazimisha kuvunja mikataba kwa utashi wao tu ili wapate sifa za kijinga ni ujinga uliotukuka
Akili ya kawaida inahitaji logic na facts kufikia uamuzi.
Changamoto kubwa inayowapata ni kwamba maamuzi mengi yalifanyika kwa msukumo wa kisiasa ambapo viongozi wengi wa kisiasa wana madaraka lakini hawatumii akili.
Ni hatari sana mtu asiyetumia akili anapopata madaraka.
Madaraka hulevya, sasa ukichanganya na ukosefu wa fikra nzuri, matokeo ni balaa tupu.
Tatizo ni mikatabaAkili ya kawaida inahitaji logic na facts kufikia uamuzi.
Changamoto kubwa inayowapata ni kwamba maamuzi mengi yalifanyika kwa msukumo wa kisiasa ambapo viongozi wengi wa kisiasa wana madaraka lakini hawatumii akili.
Ni hatari sana mtu asiyetumia akili anapopata madaraka.
Madaraka hulevya, sasa ukichanganya na ukosefu wa fikra nzuri, matokeo ni balaa tupu.
Hapa aibu naona Mimi, huyu ni Profesa halafu Tiss? Kingereza chenyewe mbona cha ugoko?Kama hapa unafikiri huyu yuko sawa kweli anatumia akili yake?? Au kaazimwa View attachment 2698409
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Ndiyo, tatizo ni mikataba inayofikiwa kwa msukumo wa kisiasa.Me nahisi tatizo ni mika
Tatizo ni mikataba
Ndio maana nikasema kwa nini tusiseme tumeshindwa kwa sababu ya makosa yetu (hao waliovunja mikataba kienyeji) bila kufuta taratibu.Mkataba uvunje kwa utashi tu wa mtu ili apate sifa za kisiasa alafu me kuwalaumu wanasheria?
Kweli mwafrika anaweza akawa katokea kwa nyani!