bampa 2 bampa
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 236
- 268
Just as predicted.. Ila babu ni kiboko aiseeBabu GM kamaliza second
Mkuu Sunny nae anatumia Evo... Evo ndio inakimbiza hapa.. Subaru nyingi ziko njeTeam Mitsubishi evo bila babu Miller hamna kitu
Babu inaonesha ni noma sana
Kwenye provisional standing hivi sasa ni watatu.Babu GM kamaliza second
Subaru zimemaliza tatu inaelekea evo ndio habari ya mjiniMkuu Sunny nae anatumia Evo... Evo ndio inakimbiza hapa.. Subaru nyingi ziko nje
Jamil Khan ni mwanamume ya shoka aisee.. Ila hongera kwa Sunny mutoto ya IST..Kwenye provisional standing hivi sasa ni watatu.
Top 5 yote ni Evo.. Subaru chaliii..Subaru zimemaliza tatu inaelekea evo ndio habari ya mjini
Na nyingi zilikuwa zinamwaga oil.Top 5 yote ni Evo.. Subaru chaliii..
Naona Subaru zitaanza kukimbiwa sasa..
Simply tu, pitia kwenye history za wrc utaona Subaru iko wapi.Kakudanganya nani?
Kama Tufail imemwangusha sana hiyo Subaru.. Jana mpaka CS3 alikuwa anaongoza..Na nyingi zilikuwa zinamwaga oil.
Tatizo Bajeti, kumiliki Citroen nzuri kwa rally si chini ya 55 M... Ila tutafika tu huko maana juzi juzi tu hapa madereva wetu walikuwa wanatumia Carina ila leo washafika kwenye Evo.. Mdogo mdogo tutafika.. Naamini Sunny anaweza kuwa na moja kati ya hizo gari mwakani. Mwaka jana alishinda ubingwa wa taifa, mwaka huu ameshinda ARC na bado ubingwa wa taifa anachuana na Jamil Khan kwa points..Simply tu, pitia kwenye history za wrc utaona Subaru iko wapi.
Evo yenyenyewe iko mbali sana, top iko VW, Citroen, Ford, Hyundai ndiyo zije kina Mitsubishi Evo . . . .
Hizi Subaru zako unazoziona huku ziko nyuma sana
Nmemuona mwanamama mmoja katika mashindano hayo hivi hakunaga wana jf wanaochezaga hyo
Ni expensive sana hiyo 55m yenyewe ni ndogo ila tutafika mdomdo hata kwa old version.Tatizo Bajeti, kumiliki Citroen nzuri kwa rally si chini ya 55 M... Ila tutafika tu huko maana juzi juzi tu hapa madereva wetu walikuwa wanatumia Carina ila leo washafika kwenye Evo.. Mdogo mdogo tutafika.. Naamini Sunny anaweza kuwa na moja kati ya hizo gari mwakani. Mwaka jana alishinda ubingwa wa taifa, mwaka huu ameshinda ARC na bado ubingwa wa taifa anachuana na Jamil Khan kwa points..