ARC Rally 2016 - Bagamoyo

ARC Rally 2016 - Bagamoyo

Babu GM kamaliza second

1468151243756.jpg
 
Kakudanganya nani?
Simply tu, pitia kwenye history za wrc utaona Subaru iko wapi.
Evo yenyenyewe iko mbali sana, top iko VW, Citroen, Ford, Hyundai ndiyo zije kina Mitsubishi Evo . . . .
Hizi Subaru zako unazoziona huku ziko nyuma sana
 
Tatizo Bajeti, kumiliki Citroen nzuri kwa rally si chini ya 55 M... Ila tutafika tu huko maana juzi juzi tu hapa madereva wetu walikuwa wanatumia Carina ila leo washafika kwenye Evo.. Mdogo mdogo tutafika.. Naamini Sunny anaweza kuwa na moja kati ya hizo gari mwakani. Mwaka jana alishinda ubingwa wa taifa, mwaka huu ameshinda ARC na bado ubingwa wa taifa anachuana na Jamil Khan kwa points..
 
Ni expensive sana hiyo 55m yenyewe ni ndogo ila tutafika mdomdo hata kwa old version.
Nilikuwa namwambia mdau mmoja kwamba Evo iko vizuri compare to Subaru.
Kuna mahali walijisahau kidogo that time walivyokuwa kwenye peak wenzao wakawa wanaumiza vichwa haswa kuja kushtuka wenzao wako mbali
 
Back
Top Bottom