Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
- #81
teh teh teh we endelea kusubiri hapa, leo jioni baada ya rally au kesho baada ya rally kuisha utamuona hapa..Anatumia i'd gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh we endelea kusubiri hapa, leo jioni baada ya rally au kesho baada ya rally kuisha utamuona hapa..Anatumia i'd gani mkuu?
Mimi leo niko team tatu... Pandya, Babu na Jamil...endelea kutuhabarisha mkuu mie always ni Babu GM team.....Pandya naye kiboko sana
Pandya haya mashindano kayapania sana...Pandya namkubali sana labla gari imzingue!
Asiposhinda yeye hamna Mtanzania atakayeshindaNina uhakika hatashinda. Trust me.
Pandya yuko vizuri Mtoto wake ameshiriki??Pandya haya mashindano kayapania sana...
Ngoja tuone kwanza leo atamalizaje..
Wao wakati wanapata ajali walikuwa 190 km/h teh teh teh
Aliyeshiriki mwaka huu ni Pandya mdogo sio Mzee..Pandya yuko vizuri Mtoto wake ameshiriki??
Sio bahati tu, it's all about safety.. Ingekuwa ni gari ya kawaida hapo wala hakuna kupona. Msome hapa chini alivyoandika baada ya kurudi nyumbani..mmmmhhh kuna watu wanabahati
Huyo anaitwa Natasha Tundo, huwa nae anashiriki kama dereva. anaendesha subaru impreza STI WRX ni noma huyo dadaMkuu umenikumbusha huyu jamaa Carl Tundo ana dada yake ni msoma ramani,! Halafu kuna jamaa anaitwa Tapio Laukkanen na Jaspreet Chatthe hawa jamaa nao wapo vizuri!
Usijali ntaleta gari la kipekee..... my Co-driver !!Eehhhh unialike kwenye mazoezi ukianza naweza kushawishika kuwa navigator wako[emoji3]
Mkuu tupe update,umepotea ghaflaHadi sasa ni Randeep, Tufail, Dharam, Babu Miller na Jamil Khan ndio wanapambana... Hapo ni Evo 9 3 na Subaru Imprezza 1...
![]()
Kakudanganya nani?Subaru haiingii kwa Mitsubishi Evo hata nukta.
Bado Subaru ni nzito sana na hazichanganyi faster
Huyo ni mwanamke wa shoka... Anatoka huko huko Arusha..
Ni mwezi uliopita tu alipata ajali mbaya kwenye haya haya mashindano hapo Bagamoyo, bahati nzuri hawakuumia sana, leo karudi tena.. Namtakia heri na amalize salama haya mashindano..
Mzunguko wa kwanza umeisha... Dharam Pandya amewakimbiza wenzake..
Lakini bado zinasubiriwa official result
Mkuu hayo ndiyo matokeo mpaka ya sasa... Bado Watanzania wanaongoza tofauti na za miaka mingine ambazo Wakenya na Waganda walikuwa wanatudominate..Mkuu tupe update,umepotea ghafla
OkayMkuu hayo ndiyo matokeo mpaka ya sasa... Bado Watanzania wanaongoza tofauti na za miaka mingine ambazo Wakenya na Waganda walikuwa wanatudominate..
Ni wakati sasa kwenda kushindana mpaka South Africa na West Africa.. Huyu Don Smith wa Kenya na Muna wa Zambia huwa wanatamba sana huko...
Hapo alikuwa 190 km/h... Ingekuwa si gari iliyoundwa special kwa mashindano ingekuwa habari nyingine..Aiseee [emoji27][emoji27][emoji27]