Ni ukweli usiopingika kuwa both Arch. na civil ni field zinazotegemeana,ktk projects kubwa utakuta architect anaandaa architectural drawings,then civil engineer anaandaa structural drawings(columns,beams,stairs e.t.c) na QS(quantity surveyor) anafanya estimation ya materials na cost..kwa uhusiano huo si rahisi kutoa conclusion kuwa kozi ipi ipo juu ya nyingine though kwa mtazamo wangu naweza sema civil ina advantages nyingi kwani kwa projects za kawaida civil eng anaweza fanya kazi zote hizo,pia civil ipo very wide( u can work in roads projects,laboratories for testing buildings materials and soils,water projects,tunnel design,geotechnical projects e.t.c).
kikubwa make sure u know utofaut wa kazi kati ya civil na arch and the contents of each field then pima uwezo wako and chagua what u like from ur heart, kwani naamini ukifanya kitu unachokipenda na ukiwa compitent enough then beleave me lazima utafanikiwa tu.Suala la kipi kipo juu ya kipi kat ya hizi field mbili it is something complicated and u will be confused kwani mitazamo ya watu inatofautiana basing ktk few examples and not the real situation.issue ya kuwa architecture ni boss wa projects si kweli kwani si katika case zote,ktk projects zingine civil eng is the boss.i stand to be corrected kama aliyesema hivyo atanipa facts and not few exampes.
All in all architecture and civil ni field nzuri and future yake ni nzuri na ukiangalia ktk this time ambapo ajira ni ngumu then with these field ni rahisi zaidi kujiajiri. ALl THE BEST