Wizara ya Ardhi Govt Institution Joined May 14, 2024 Posts 306 Reaction score 165 Oct 22, 2026 #1 Timu ya Wataalamu wa Sekta ya Ardhi Mkoa wa Dodoma, ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa Bi. Happines Mtutwa wakiendelea kuwahudumia wananchi hadi majira ya usiku katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani Kondoa tarehe 21 Oktoba 2026.
Timu ya Wataalamu wa Sekta ya Ardhi Mkoa wa Dodoma, ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa Bi. Happines Mtutwa wakiendelea kuwahudumia wananchi hadi majira ya usiku katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani Kondoa tarehe 21 Oktoba 2026.