The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sasa waziri Jerry Mla rushwa anakwenda kuinogesha rushwa hapo Ardhi kwa wala rushwa wenzake.Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Ni vizuri tumuache Jerry afanye kazi tumpime kwa matokeo.Na sasa waziri Jerry Mla rushwa anakwenda kuinogesha rushwa hapo Ardhi kwa wala rushwa wenzake.
Rushwa inaanzia juu kushuka chini hakuna namna itatokaUkienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Hiyo wanakwambia ni TAKRIMA na siyo RUSHWA .Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Wewe Chawa Jerry alikuwa Diwani, akàwa Meya wa Manispaa ya Ilala tunamjuwa vizuri sana.Ni vizuri tumuache Jerry afanye kazi tumpime kwa matokeo.
Kumtuhumu moja kwa moja hivi bila kuweka hata uelekeo wa uthibitisho siyo sawa wala haki.
Tuhuma za rushwa ni nzito sana kwa kiongozi wa uma.
Kama kuna ushahidi, sawa.
Mambo yamekuwa hivyo baada ya Ile spidi ya awamu Ile kuondoka , lakini madhali Mama kapata taarifa hizi toka kwako mambo yatabadilika, ni MTU WA Haki Yule Mama, labda silaha amuangusheUkienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Kwanza kabisa mimi siyo chawa, ni binadamu mwenye akili nzuri na huru.Wewe Chawa Jerry alikuwa Diwani, akàwa Meya wa Manispaa ya Ilala tunamjuwa vizuri sana.
Nashangaa sana kama Jerry wanateuliwa uwaziri kwa sofa zipi? au kwakuwa wabunge wengi wa Ccm ni empty set bungeni?
Kama kuna sifa ya ziada aliyonayo labda ni degree ndicho anachowazidi hao kina Kibajaj.
Mbona na Jerry nae anasemwa kwamba kwenye mambo ya rushwa kwamba yupo vizuri..Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Ili uzime moto wa nyika unatakiwa kuwasha moto. Je ili kudhibiti rushwa ya ardhi ni lazima ukabidhi jukumu la kudhibiti kwa mla rushwa?Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
WATENDAJI WANATOA LETTER OF OFFER JUU YA HATI MILKIUkienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
Yaani wale jamaa wana kadunia kao kabisa hawaambiliki wanaudhi wanakera na wanakatisha tamaa sanaWATENDAJI WANATOA LETTER OF OFFER JUU YA HATI MILKI
Huko ukonga nitaanzia wapi?Hiyo ni takataka!
Njoo ukonga ndio utaelewa