Ardhi Special thread

Ardhi Special thread

Wakubwa Habarini

Nipo kwenye mkakati wa kutafutaa kiwanja Mkoani Dodoma ni maeneo yapi yanaviwanja ambapo mji unakuwa na bei yake nafuu?

Nawasilisha
 
Karibu mkuu
Wajuvi wanakuja kukupa info
 
Wale wa Mwanza tujuzane maeneo potential kwa makazi nje ya mji
 
Cc Aliko Musa
 
Mbona naona siku hizi swala la kupata Hati miliki limekua rahisi Especially sehemu za miji mikubwa

Mfano hapa dar es salaam makampuni mengi ya real estate yanawasaidia clients wao katika kufuatilia Hati
Me nafkiri Hati miliki ukifuatilia mwenyewe bila ya kuwa na mtu wako wizarani kidogo itakua mtiani
Kweli kabisa mfano ss kwenye kampuni yetu swala la hati tutakusaidia hadi hatua za mwisho
 
[emoji115]
 
Wakubwa Habarini

Nipo kwenye mkakati wa kutafutaa kiwanja Mkoani Dodoma ni maeneo yapi yanaviwanja ambapo mji unakuwa na bei yake nafuu?

Nawasilisha
Habari za majukumu. Kiwanja Dodoma ulishapata? Kama bado mimi ninavyo viwanja kadhaa katika eneo na Vikonje jirani mtaa ambao huko katikati ya mji wa kiserikali na Ikulu.
 
Wakuu Amani ya Mungu idumu kwenu.
Wakuu naomba ushauri maeneo haya sehemu ipi sahihi ya kununua kiwanja cha makaazi?
1. Chanika.

2. Kibaha.
 
Kibaha mkuu... Usafiri wa uhakika na haraka.. 2.lango kuu la kuingia jijini kutoka Mikoa yote kutoa Lindi na mtwara,thamani ya ardhi iko juu,na inapanda Kwa Kasi..chanika waswahili wengi.. viwanja vidogo sana ambavyo vitakuja kutengeneza mji mbovu na usiopangika baadae, pia Kuna mafuriko sana na kutuamisha maji...weka makazi Yako kuanzia kiluvya Hadi mlandizi km zisizozidi 10 kutoka Morogoro road hutajutia..na ujenge kwenye kiwanja chenye sqm kuanzia 2000 na kuendelea
 
Shukurani sana kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom