Ardhi University(ARU) - Special Thread

Mwenye access ya kupata list ya waliokua selected mwaka huu msaada,account yao haifunguki.
 
BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING

Wakuu hii kozi inahusiana na nn nasoko lake lipo vp mtaani nina dogo langu amepata hiyo kozi msaada tafadhali
 
BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING

Wakuu hii kozi inahusiana na nn nasoko lake lipo vp mtaani nina dogo langu amepata hiyo kozi msaada tafadhali
Kama inavyojielez apo huu sansana INA deal na mambo ya viwanda umo utasom some part za mechanical na civil kuhs ajira ni bahati tu.
 
Ardhi ni chuo kizuri Sana nimemaliza ESM mwaka huu ardhi ninaweza kuja kusoma masters pia ardhi mwakani mungu mkubwa.
 
Habar wadau
Naomba mnisaidie wazo dogo Yuko morogoro ardhi tangu juz ananitumia sms et hataruhusiwa kuendelea na semister ya pil kwasab hajatoa Ada ndo nkashangaa hv vyuo vya serikal vimekuja kuaje Tena jaman wanafanya Kama watto wako private embu nisaidien pia Kama Kuna wanafunz hum wa icho chuo waniambie Kama n kwel au dgo ananipelekesha tu maana mwanzo alitaka kutumia Ada kununulia laptop nkamkatalia nkawaza isijekuwa ndo anataka kutumia mwanya huu kununua kisir sir nisijue nlimwambia pia anitumie number za msajil au mkuu wa chuo akasema hazitolew kirahis embu nisaidien wadau
 
Hilo ni kweli kabisa

Kama humuamini mwambie akupe Ac ya chuo ulipe wewe umtumie Slip
 
Habari zenu nduguzangu me nimuhitumu wa diploma ya maendeleo ya jamii nilikua nauliza ivi ni nina sifa zakujiunga na aridhi kwakua me ni me maliza chuo cha maendeleo ya jamii na pia nikozi gan ninayo weza kusoma
 
Oa wakuuu najaribu kuregster account nifanye application ila inasumbua msaada jmn
 
Habari zenu nduguzangu me nimuhitumu wa diploma ya maendeleo ya jamii nilikua nauliza ivi ni nina sifa zakujiunga na aridhi kwakua me ni me maliza chuo cha maendeleo ya jamii na pia nikozi gan ninayo weza kusoma
Ipo maendeleo ya jamii
 
How about land management and valuation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…