Ardhi University(ARU) - Special Thread

Ardhi University(ARU) - Special Thread

Mwenye access ya kupata list ya waliokua selected mwaka huu msaada,account yao haifunguki.
 
BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING

Wakuu hii kozi inahusiana na nn nasoko lake lipo vp mtaani nina dogo langu amepata hiyo kozi msaada tafadhali
 
BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING

Wakuu hii kozi inahusiana na nn nasoko lake lipo vp mtaani nina dogo langu amepata hiyo kozi msaada tafadhali
Kama inavyojielez apo huu sansana INA deal na mambo ya viwanda umo utasom some part za mechanical na civil kuhs ajira ni bahati tu.
 
Ardhi ni chuo kizuri Sana nimemaliza ESM mwaka huu ardhi ninaweza kuja kusoma masters pia ardhi mwakani mungu mkubwa.
 
Habar wadau
Naomba mnisaidie wazo dogo Yuko morogoro ardhi tangu juz ananitumia sms et hataruhusiwa kuendelea na semister ya pil kwasab hajatoa Ada ndo nkashangaa hv vyuo vya serikal vimekuja kuaje Tena jaman wanafanya Kama watto wako private embu nisaidien pia Kama Kuna wanafunz hum wa icho chuo waniambie Kama n kwel au dgo ananipelekesha tu maana mwanzo alitaka kutumia Ada kununulia laptop nkamkatalia nkawaza isijekuwa ndo anataka kutumia mwanya huu kununua kisir sir nisijue nlimwambia pia anitumie number za msajil au mkuu wa chuo akasema hazitolew kirahis embu nisaidien wadau
 
Hilo ni kweli kabisa

Kama humuamini mwambie akupe Ac ya chuo ulipe wewe umtumie Slip
 
Habari zenu nduguzangu me nimuhitumu wa diploma ya maendeleo ya jamii nilikua nauliza ivi ni nina sifa zakujiunga na aridhi kwakua me ni me maliza chuo cha maendeleo ya jamii na pia nikozi gan ninayo weza kusoma
 
Oa wakuuu najaribu kuregster account nifanye application ila inasumbua msaada jmn
 
Habari zenu nduguzangu me nimuhitumu wa diploma ya maendeleo ya jamii nilikua nauliza ivi ni nina sifa zakujiunga na aridhi kwakua me ni me maliza chuo cha maendeleo ya jamii na pia nikozi gan ninayo weza kusoma
Ipo maendeleo ya jamii
 
Chuo Kikuu Ardhi,kwa mwaka wa pili mfululizo sasa,pamoja na facults nyingine nyingi,kinatoa facult ya BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE (BAF) yenye ubora wa pekee kabisa..Ubora huo unatokana na courses zinazopatikana ndani ya faccult hii kama ifuatavyo..
SEMESTER 1,YEAR 1;
1.Accounting fundamentals
2.Communication skills I.
3.Development perpectives I.
4.Introduction to ICT and Programming
5.Introductory Microeconomics
6.Introductoiy Macroeconomics
7.Principles of management
8.Business Mathematics

Year 1,semester 2;
1.Development Perspective II.
2.Information Systems management and security
3.Business Law
4.Principles of Accounting I.
5.Principles of Finance I.
6.Production and Operations management
7.Business Statistics
8.Business communication Skills

Year 2,semester 1;
1.Money and Banking
2.Principles of Accounting II.
3.Principles of Finance II.
4.Principles of Taxation
5.Financial management
6.Quantitative Methods I.
7.Econometrics I.
8.Principles of Marketing

Year 2,Semester 2.
1.Business research Methods
2.Corporate Finance
3.Cost Accounting
4.Financial accounting
5.Accounting and financial Information Systems
6.Project Planning and financial Analysis
7.Fundamentals of Real Estate Finance
8.Portfolio and Fund management
9.Public Finance and Taxation
10.INDUSTRIAL TRAINING(I.T)

Year 3,semester 1;
1.Auditing
2.Business values and Ethics
3.Financial Reporting
4.Financial accounting II.
5.Management Accounting
6.Derivative Securities and Risk management
7.Financial Markets and Institutions
8.Investment analysis and Capital Markets
9.SEMESTER PROJECT

Year 3,Semester 2;
1.Auditing and Assurance Services
2.Financial Accounting III.
3.Entrepreneurship
4.International Accounting and Taxation
5.Asset valuation and Management
6.Lease financing
7.Marketing of Financial services
8.Treasury management...

Bachelor of Science in Accounting and Finance,Ardhi university inatoa wataalamu mbalimbali wanaoweza kuhudumia katika nyanja mbalimbali kitaifa na kimataifa zikiwemo;
1.Ukaguzi wa hesabu za serikali,mashirika na sekta mbalimbali za kiuchumi,
2.watendaji katika mabenki na taasisi mbalimbali za fedha,
3.washauri wa uchumi,masoko na biashara.
4.waratibu ktk sekta ya uwekezaji
5.Watengenezaji wa sera za kiuchumi na kibiashara
6.wasimamizi na maafisa masoko wa kitaifa na kimataifa.
7.waratibu katika hazina.
8.wajasiriamali na waandishi na watungaji wa mipango kazi ya biashara.
9.Wahasibu na waratibu wa taarifa za fedha
10.wasimamizi wa rasilimali watu.
11.wataalamu katika mifumo ya teknolojia ktk biashara NA NYINGINE NYINGI....
How about land management and valuation
 
Back
Top Bottom