Ardhi University(ARU) - Special Thread

mtu alie pata C nne olevel ikiwemo ya math, na six akapata s 3 na C moja ya account, then akasoma dploma ya account TIA na kupata GP ya 3.8! je anaweza kusoma account hapo?

pale wana bank and finance ambyo ww unaizungumzia na arts and economics
 
naomba maelezo ya architecture,usomaji na ajira na vngne ulvyonavyo...

ni nzuri kinyama ma architect bdo wanaitajika sana wanaringa sana ila bwana mdogo jipange kukesha unafanya assignments aisee ni noma inaitaji uteseke kweli sikutishi ila jipange kuwa bize kuna kitu kinaitw studio hapo ni kuchora kwa sana uzuri ukiingia hujui kuchora unaweza kufundishw ukajua ila nasisitiza jipange kuwa bize ni knoooooooooooooma
 
Asisome..ni majanga hii kozi..labda kama babake ana kampun hapo sawa.hiv hiv big no

 

duuh.!ahsante mkuu,kwa hyo bata sitakula kabisa?nyeee maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…