mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Vipi kuhusu course ya building economics
umesoma combination gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu course ya building economics
Kuna ngazi ya certificate?
Nina degree ya uhasibu naweza kusoma PGD in Geomatics
mtu alie pata C nne olevel ikiwemo ya math, na six akapata s 3 na C moja ya account, then akasoma dploma ya account TIA na kupata GP ya 3.8! je anaweza kusoma account hapo?
naomba maelezo ya architecture,usomaji na ajira na vngne ulvyonavyo...
Asisome..ni majanga hii kozi..labda kama babake ana kampun hapo sawa.hiv hiv big no
Asisome..ni majanga hii kozi..labda kama babake ana kampun hapo sawa.hiv
jamaa kanys boya kweli ni aina ya watanzania ambao hawajui na wanajitia wanajua...dogo huyu anakukatisha tamaa tu hajui chochote kuhusu BE kwa kifupi kijana kozi ipo marketable saàaaaaaaaana
kwanza iinapatikana au inatolewa chuo kikuu ardhi na nairobi africa mashariki na kati
hapa tanzania hakuna diploma wala certificates ya BE ni bachelor tu na ipo ardhi pekee
kwa mwaka ardhi inatoa graduates not more than 150 graduates you can see au marketable it is hawana competition kabisaaaaaa
haya tukija kwenye ajira tambua ukigraduate unaitwa guantity surveyor(gs) yani unatathimini gharama za ujenzi.....tanzania kuna makampuni kibao kweli ya ujenzi kama umepga zako gpa nzuri kuanzia 3.5 nakuhakikishia hautazunguka na baasha kabsa watu wanaanza kupiga madili kuanzia mwaka watatu na uzuri hata kwenye makampuni ya wachina wanakuja na techinical team yao lakini QS lazma awe mbongo ili kufanya negotiation na consultations na kubring up quarries zinazojitokeza kweny site kwani hawajui kizungu kabsa na wajua kiswahili cha kubahatisha na hapo ndio inapokuja haja ya kuwaajiri watz
haya ukija kwenye mpunga au salary aisee hawa jamaa wanakula pesa sana tambua kwenye ujenzi wa majengo gs analipwa 7%ya gharama yote ya ujenzi(consultant qs) wajuvi wataelew hapa haya piga hesabu kama jengo linagharimu bilioni 3 unapata ngapi
kwa kifupi kwenye construction industry ukianza na babalao Arhitect civil engineer quantity surveyor tanzania bado inaitaji san na ni rahisi saaaaana kujiajiri Ardhi pale watu wanauza ramani bdo wanabukua
Ana bbd accounts and finance anaweza pata hapo ardhi
Wat about economics and statistics ya UD
ni nzuri kinyama ma architect bdo wanaitajika sana wanaringa sana ila bwana mdogo jipange kukesha unafanya assignments aisee ni noma inaitaji uteseke kweli sikutishi ila jipange kuwa bize kuna kitu kinaitw studio hapo ni kuchora kwa sana uzuri ukiingia hujui kuchora unaweza kufundishw ukajua ila nasisitiza jipange kuwa bize ni knoooooooooooooma
dah mi na procurement yangu hapa Giza tuu
duuh.!ahsante mkuu,kwa hyo bata sitakula kabisa?nyeee maisha haya
nimesoma egm
nimesoma egm
akisoma statistcs and economics atafanya kazi gani
bata unakula lakini kidizaini flani covering yake ni noooma sana bata chuo ni week za kwanza kwanza baada ya hapo ni mateso bila chuki