Ardhi University(ARU) - Special Thread

ARU wana coz ya development planning or project management kama zpo wanahitajika watu wa sifa gan?
 
Vipi mkuu mbona hizo kozi za apo ardhi huwa hazijai ni kw nn?
 
Vipi kuhusu program ya real estate?; soko katika ajira
 
Vipi kuhusu program ya real estate?; soko katika ajira

Degree zote za ARU, soko la ajira lipo na unaanza kula matunda ya degree yako hata kabla ya kuhitimu miaka yako 4 au 5 ya degree, unachopaswa kufahamu ni kwamba course za hapa ni za vitendo zaidi na kuwa uwajibikaji wako ndio utakaokuwezesha kujinadi katika hayo masoko ya ajira.
 
Vipi mkuu mbona hizo kozi za apo ardhi huwa hazijai ni kw nn?

Minimum entry qualification credits ni 4.0 points. Sasa wewe una 2.5 points kwanini msijazane huko vyuo vya watu binafsi na masdhirika ya kidini, unakuja ARU kufanya nini!?
 
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

m nataka kusoma lmv nipe rpot zake
 
Karibuni kupata majibu ya maswali yenu mbalimbali kuhusu Ardhi Unversity...

============================
============================


Chanzo: Wikipedia
 
Course ya Interior Design,inahusiana na nini?
Vipi soko lake la ajira serikalini.?
 
Interior ipo upande wa architecture bt for interior designing... Kwa uelewa kidog ni nilionao japo sisomi hiyo koz ni kwamb ina deal how interior system ya any building iweje.general archtects wao ni nje na ndan pia...kwa idea kidogo hyo.ajira sijui..cha msingi kila koz kina ajira
 
Mahitaji gani muhimu yanahitajika iwapo nitachaguliwa kujiunga na ARDHI University
 
Vp mkuu nikichaguliwa bsc.in land valuation and management nitapat how much % of loan? Na vp hiyo coz ipo vizuri nikiisoma?
 
Vp mkuu nikichaguliwa bsc.in land valuation and management nitapat how much % of loan? Na vp hiyo coz ipo vizuri nikiisoma?

Mkuu kwenye mambo ya loan yapo kama bahati nasibu,ukipwa 70% shukuru,ukipewa 100% ruka ruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…