Ardhi University(ARU) - Special Thread

Ardhi University(ARU) - Special Thread

Hey room zlzopo karib na chuo znapatkana kwa sh ngap per month????????.. ka kna mtu yu karib tujuane il anipe mikakat.....
 
jaman hii bachelor of archtecture in interior design(A.R.U).......inahusiana na nn na pia Kwenye suala la ajra...kwa anaye fahamu msaada wadau
 
Hey room zlzopo karib na chuo znapatkana kwa sh ngap per month????????.. ka kna mtu yu karib tujuane il anipe mikakat.....

Bei za room zipo wengi wetu tumepanga mitaa ya Makongo,survey na Ubungo kwa maeneo ya karibu ambayo ni survey na makongo bei za vyumba ni kuanzia 60000/= mpaka LAKI kutokana na ubora hata hivyo inabidi uwe shapu sana ili upate la sivyo utapata chumba umbali mrefu.
 
Wale wa lmv na real estate kwa ujumla karibuni saana,,, nyumbn kwa dr lucian..
 
Wale wa BAF anawasubir sana kwenye BUSINESS MATHS na Architecture & Construction Semister II kwa REFI,PFM &LMV
 
Af ntapata wap wa kunsav kupata rum survey (cuz nd karb na chuo kulko sehem zote ulzotaja)

Msaada plzzzz Mapfa A
 
Last edited by a moderator:
niliichagua ya mwisho

Ukisoma bachelor of architecture in interior design unakuwa interior architect kazi yako ww ni kuandaa drawings za interior spaces(una base na aesthetical of interior space) pia unaweza design furniture zitakazotumika according na function of that space lkn unatakiwa uelewe structural system for the safety
Unaweza fanya kaz ktk architectural firms au ukajiajili mwenyewe

Hii inalipa sana ukiachana na external view of building lkn mahotel, commercial building nk zinahitaji ndani zivutie interior architect wanahitajika sana

Karibu ardhi mi napiga general architecture
 
dah poapoa mdau.....
 
Back
Top Bottom