Ardhi university wewe ni mkombozi na kimbilio langu la pekee.

Ahm bokee leh

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
22
Reaction score
1
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
 
I understand what you are going through ndugu, yatatoka and you will be selected by yo dear ardhi!!
 
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.

Kwa uandishi wako huo nahisi hata chuo utakosa rudi chekechea ukafunzwe kuandika kabla haujapost huo uzi wako kwa mara nyingine.
 
Utapata brother worry out, ao wa 'airtell yatosha' wasikuumize kichwa.
 
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.

Pole sana!Vuta subra,bakhti yako iko njiani yaja.
 
Mm mwenyewe hapa pressure juu..hao ardhi ndio first na 2nd choice yangu..huko kwengine hata cjajiona..
 
Da ardhi wanasubiri Yesu Arudi!! Ndo watoe majina

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mm mwanangu hio airtel ilinipitia kushoto

Website database ya ARU inarekebishwa hivi punde mtaona majina yenu, ila hard copy ya waliochaguliwa tunayo na soft copy ipo kwa DVC AA, taratibu za haraka zinafanyika kuhakikisha wkend hii au Jumatatu yanakuwa hewani
 
jumatatu mbali wengine wazee wetu washaanza kupoteza imani..
 
Website database ya ARU inarekebishwa hivi punde mtaona majina yenu, ila hard copy ya waliochaguliwa tunayo na soft copy ipo kwa DVC AA, taratibu za haraka zinafanyika kuhakikisha wkend hii au Jumatatu yanakuwa hewani
mkuu jerhy nimeku-pm toka jana ujue ebu chekii unipe jibu
 
ingia website ya tcu then click list of selected applicant 2013/2014 utapata jina lako mkuu
 
nahisi umechemka ww pepa afu unasingizia kuwa ardhi wanachelewesha post zenu,dogo wambie ndugu zako ukweli kama ulifeli mtihani ili upate msaada wa kurist pepa
 
Back
Top Bottom