Ahm bokee leh
Member
- Aug 28, 2013
- 22
- 1
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
Mm mwenyewe hapa pressure juu..hao ardhi ndio first na 2nd choice yangu..huko kwengine hata cjajiona..
hata mim ila cdhan kama airtel watakua wameniangusha......
Mm mwanangu hio airtel ilinipitia kushoto
Website database ya ARU inarekebishwa hivi punde mtaona majina yenu, ila hard copy ya waliochaguliwa tunayo na soft copy ipo kwa DVC AA, taratibu za haraka zinafanyika kuhakikisha wkend hii au Jumatatu yanakuwa hewani
mkuu jerhy nimeku-pm toka jana ujue ebu chekii unipe jibuWebsite database ya ARU inarekebishwa hivi punde mtaona majina yenu, ila hard copy ya waliochaguliwa tunayo na soft copy ipo kwa DVC AA, taratibu za haraka zinafanyika kuhakikisha wkend hii au Jumatatu yanakuwa hewani
mungu ameshatenda tayari usijali!