ARDHI UNIVERSITY(zamani UCLAS)

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
2,694
Reaction score
1,249
Ndugu zangu wanaJF,nasikia hiki ni chuo kinacho offer course karibia zote za kipekee Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla,kama vile Bsc.Geomatics(land surveying),Bsc.Geoinformatics(GIS),Bsc.LMV,Bsc.BE nk.Naamini hapa Jf kuna watu wamepita pale,je vipi mtaani kuna kazi zake na uhitaji wake mkubwa? Zinalipa? Naomba kufahamishwa ili nichek uwezekano wa ku apply kozi mojawapo,ahsanteni sana wakuu!
 
Nenda kasome kutegemeana na malengo yako, kisha baada ya kusoma hayo ya ajira yatafuata; maana kusoma ni suala moja na ajira ni suala jingine. Ila kama unataka fani yenye uhakika wa ajira kwa asilimia 100% mara tu unapo-graduate, kasomee "education" [Science, Arts or Commerce]. Hata vivyo, hakuna graduate wa ARU anayekosa kazi baada ya kuhitimu, hata kama atakaa mtaani mwaka baada ya kuhitimu, kitu ambacho ni cha kwawaida kwa graduate wengi wa fani zingine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…