The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Ndugu zangu wanaJF,nasikia hiki ni chuo kinacho offer course karibia zote za kipekee Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla,kama vile Bsc.Geomatics(land surveying),Bsc.Geoinformatics(GIS),Bsc.LMV,Bsc.BE nk.Naamini hapa Jf kuna watu wamepita pale,je vipi mtaani kuna kazi zake na uhitaji wake mkubwa? Zinalipa? Naomba kufahamishwa ili nichek uwezekano wa ku apply kozi mojawapo,ahsanteni sana wakuu!