mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Umesahau course ya wagumu geomatics,geoinformatics,environmental engineering,municipal and industrial service engineering..nk..ambazo zipo ardhi tu hakuna sehemu nyengine
TCU ndo inawalete so hata mkiwakaribisha mambo ni yale yale tu!
Umesahau course ya wagumu geomatics,geoinformatics,environmental engineering,municipal and industrial service engineering..nk..ambazo zipo ardhi tu hakuna sehemu nyengine
Its a unique university providing programmes like archtecture building economics which no university in Tanzania provides most welcome you will enjoy the conducive studying environment you will enjoy well addressed lectures and tutions for more visit www.ardhi.ac.go.tz
hivi MUST hawatoi hii kitu kweli? kajipange mkuu..
samahan ningependa kujua mwaka wa kwanza wanatakiwa kuriport lin
Jamani mwenye kujua course ya Landscape architecture ikoje,future yake ikoje,na wanaosomea hioyo kozi hasa hasa ajira yao ni kwenye sekta gani,je unaweza pia kujiajiri?please mwenye kujua anijuze kwani kuna jamaa yangu kaipata lakini hainjui vizuri na alikuwa anaulizia maswali hayo.
Thanks for clarification,ubarikiwe sana..........
Iko fresh sana mkuu waweza jiajiri pia na kazi zipo full maana wataalam wake ni wachache for now ......inahusu landscaping.... ni nzuri na ni 4 years course.....karibu.....mi.i napiga B.Arch palena ni 4th year now.
Its a unique university providing programmes like archtecture building economics which no university in Tanzania provides most welcome you will enjoy the conducive studying environment you will enjoy well addressed lectures and tutions for more visit www.ardhi.ac.go.tz
Enviromental Engineering sio mpya. Iko pale ardhi miaka mingi sana