Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 998
wat bout regional dvlpmnt planing ajira yake ipo jaman maana nawaswas sana
Kwa waliochaguliwa kujiunga na masomo ya Elimu ya Juu Via TCU,wamepewa fursa tena ya kuchagua chuo kingine (ikiwa hujardhika na chuo ulichopangwa) katika course ulizo omba kama ilivyo katika profile yako hivo ikiwa umepangwa Udom basi waweza badilisha ukasoma IFM endapo tu hiyo course ipo ktk chuo unachopenda kuhamia, mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/9/2013