wat bout regional dvlpmnt planing ajira yake ipo jaman maana nawaswas sana
samahan ningependa kujua mwaka wa kwanza wanatakiwa kuriport lin
Bs. of science in building economics
ni koz ambayo ina husu nini wadau?
Na soko la ajira liko upande gani hasa?
NAOMBA MSAADA WENU.
Hizo sio za wagumu wewe nenda hapo ARU uliza SCHOOL OF REAL ESTATE utapata story yake!!!Umesahau course ya wagumu geomatics,geoinformatics,environmental engineering,municipal and industrial service engineering..nk..ambazo zipo ardhi tu hakuna sehemu nyengine
Hizo sio za wagumu wewe nenda hapo ARU uliza SCHOOL OF REAL ESTATE utapata story yake!!!
hivi MUST hawatoi hii kitu kweli? kajipange mkuu..