Ardhi ya kila nchi Ulimwenguni ina siri yake

Ardhi ya kila nchi Ulimwenguni ina siri yake

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Daah sio poa aisee

Sema nini, nshaelewa. Kweli nyumbani ni nyumbani tu.

Angalizo: Tuwe makini sana tunapoingia kwenye nyumba za watu, office za watu, majengo ya watu, mashamba ya watu, mitaa ya watu, Wilaya za watu, miji ya watu , mikoa ya watu, Nchi za watu.

Daah, yaani sio poa kabisa wanangu!
 
Kama Wakuu waliokuwaga Member Enzi hizo jukwaa linaanzishwa wangeandika(ga) kama hivi ulivyoandika wewe, Nadhani JF ingejifia zamani pamoja na kifo cha zile yahoo... na hotmail zilizokick zama zetu.. kwa ufupi hata wewe usingeijua JF.
 
Back
Top Bottom