Daah sio poa aisee
Sema nini, nshaelewa. Kweli nyumbani ni nyumbani tu.
Angalizo: Tuwe makini sana tunapoingia kwenye nyumba za watu, office za watu, majengo ya watu, mashamba ya watu, mitaa ya watu, Wilaya za watu, miji ya watu , mikoa ya watu, Nchi za watu.
Daah, yaani sio poa kabisa wanangu!