Ardhi Ya Uridhi Lazma Ihamishwe Rasmi Kisheria Na Si Kwa Mameno Tu

Ardhi Ya Uridhi Lazma Ihamishwe Rasmi Kisheria Na Si Kwa Mameno Tu

Waziri Mayai Wa Maradhi

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
409
Reaction score
98
Ikiwa baba yako atakupa ardhi kwa maneno tu, nawe ukaimiliki na hata kujenga nyumba yako juu yake, hilo halifanyi ardhi hiyo kuwa mali yako.
Isipokuwa tu kama atahamisha rasmi umiliki wa ardhi hiyo kwako, itaendelea kuwa chini ya jina lake.
Akifariki dunia kabla ya kufanya uhamisho huo, mahakama inaweza kuichukulia ardhi hiyo kuwa sehemu ya inheritance estate yake.
Ardhi hiyo itagawanywa miongoni mwa warithi wote, licha ya ukweli kwamba umekuwa ukiishi hapo kwa miaka mingi.
Nyumba yako itabomolewa bila fidia yoyote.
 
Back
Top Bottom