Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Napingana na wewe kabisa, una uthibitisho gani kuwa huyo bibi SASHA ana hulka ya huruma.Mama Samia hawezi vita chafu za kisiasa, ana hulka ya huruma na sio jeuri, pia ni mtu wa kutazama na kujali perspective ya dunia dhidi yake (Anajali jinsi gani dunia inavyomchukulia), hii tishatisha na kukamata watu ni kuamsha vita ya kisiasa ambayo hatoiweza.
Magufuli hakuwa na hulka ya huruma na alikua jeuri kweli kweli, na alikua hajali dunia inamchukulia vipi na inamsema vipi, ila alikimbizwa mchaka mchaka wa 4G na wanasiasa/viongozi wa dini/haki za binaadamu mpaka ikabidi risasi na watu wasiojulikana watumike.
Unapo pambana au kuanzisha vita chafu za kisiasa, lazima;
1) Uwe na roho mbaya.
2) Uwe Muongo.
3) Uwe tayari kuua na kuteka, bila kujali familia zao watakazo acha nyuma.
4) Uwe muonevu.
5) Uwe huna kujutia.
6) Uwe fisadi (Kununua wanasiasa kwa rushwa, vitisho).
7) Uwe bingwa wa kujitoa ufahamu (Hamnazo).
8) Uwe na kifua cha kuhimili mikiki mikiki na matusi.
9) Usiwe muoga.
10) Usiwe mtu wa kubadilisha maamuzi hata kama umekosea na unajua kwamba umekosea.
Yote haya Mama Samia hana, cha ajabu anaanzisha (Au CCM wanamshauri kuanzisha) varangati chafu za kisiasa asizoziweza. Hao wanao muunga mkono ndani ya CCM muda si mrefu watarudi nyuma na kumwachia mzigo aweweseke nao peke yake.
Subirini moto uwake ndani na nje ya nchi. Mtajionea.
Time will tell, atatulia tu.
Don't be deceived na sauti laini ya lafudhi ya kiunguja na hijabu lake analovyaa hata kwenye joto kali, don't be naive.
Hao watu soft spoken wakiwa na roho za kikatili hata sheitwan anakimbia, hako kabibi kanaonekana ni ile dizaini ya kuuma na kupuliza yaani mnakuwa mezani anakulisha sumu huku akikutolea tabasamu la bashasha. I don't trust her.