Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
TCRA wakitaka kuiblock Google Facebook Twitter yahoo and any communication platforms and media waziblock across the country sasa ni yupi mbabe?
Na wao ndio wanaotoa kibali kwa network and Internet providers sasa nani anayejua idadi ya Internet users in Tanzania kama sio TCRA wenye mandate ya regulation monitoring and supervision on Internet and all communication means in Tanzania?
Uwe na akili basi sio umekalia ubishi tu wa kipumbavu.
Does it be acknowledged by the TCRA au ni pumba zako za mwanzo hata haingii akilini hiyo wape wakenya wenzio sababu ndio mnafanana.
Unasema nini?? Siuandike Kiswahili kama hujui Kiingereza!!! Duuh!!Does it be acknowledged by the TCRA au ni pumba zako za mwanzo hata haingii akilini hiyo wape wakenya wenzio sababu ndio mnafanana.
Yet you've flooded this thread with Kenyan pictures from over 10 years ago.You should check out your records and review them Tanzania haina upungufu wa dawati tokea August this year madawati yamezidi baada ya desks national campaign so pictures utakazoleta hakikisha ni za kuanzia September this year.
Old pictures we call them history.
Bado nazidi kuimulika kenya kwa kweli hali ni kama mnavyoiona images say it allThe Realities of Education in Kenya