Kimsingi hawataruhusiwa unless wawe wanafahamu SHARIA.............NA SHARIA IKO RELATED NA UISLAMU................... hakyanani hii nchi inakoelekea kila dini/dhahebu litadai mahakama yake............. Na mtu anayehusika na mahakama moja akishitakiwa na mtu wa mahamaka nyingine THIJUI ITAKUWAJE, huyo anayeshitakiwa sijui kama atapelekwa kwenye mahakama asiyo na imani nayo ................Are non Muslem lawyers allowed in kadhi courts?
Can a non Muslim lawyer allowed to appear before Kadhi court and/or acting/represent a Muslim client? Do you think it will be a waste of time as he/she can never be listened nor his/her submission taken, especially if the other side is represented by a Muslim lawyer?
Or, do you think the Kadhi will manipulate and deliver ruling against him or her citing rules and law evidence under Muslim law which are strange to the non- muslem lawyer?
Kimsingi hawataruhusiwa unless wawe wanafahamu SHARIA.............NA SHARIA IKO RELATED NA UISLAMU................... hakyanani hii nchi inakoelekea kila dini/dhahebu litadai mahakama yake............. Na mtu anayehusika na mahakama moja akishitakiwa na mtu wa mahamaka nyingine THIJUI ITAKUWAJE, huyo anayeshitakiwa sijui kama atapelekwa kwenye mahakama asiyo na imani nayo ................
TUSIWE WATU WA KUDAI TU KUANZISHWA KWA MAHAKAMA ZA KIDINI............. TUANGALIE NA ATHARI ZAKE............... UNLESS OTHERWISE NCHI IONGOZWE NA DINI INAYODAI MAHAKAMA YAKE..................... WHICH IS IMPOSSIBLE IN TZ...........
Tunachopaswa wa Tanzania nikutokuwa na papara ya kukurupukia mambo, elimu ya sheria tu bado hatunayo je hizo SHARIA ZA KADHI tutaziwezaje? na haki ya kumtetea mtuhumiwa kwa mawakili wasio waislam haitakuwepo......lakin kama kwenye vyuo ambavyo sii vya kiislamu tumekuwa tukisoma canon law.....na islamic law kwa nin basi mtaala wa maswala ya KADHI yasiingizwe ili tuweze kupata wataalamu wa SHARIA AMBAO NI WANASHERIA?
Ignorance is the greatest enemy of many... If you don't comprehand the philosophy and essence of KADH court in muslim faith you better shut up or take time to learn and then post an-informed comment.Tunachopaswa wa Tanzania nikutokuwa na papara ya kukurupukia mambo, elimu ya sheria tu bado hatunayo je hizo SHARIA ZA KADHI tutaziwezaje? na haki ya kumtetea mtuhumiwa kwa mawakili wasio waislam haitakuwepo......lakin kama kwenye vyuo ambavyo sii vya kiislamu tumekuwa tukisoma canon law.....na islamic law kwa nin basi mtaala wa maswala ya KADHI yasiingizwe ili tuweze kupata wataalamu wa SHARIA AMBAO NI WANASHERIA?
Hebu rudia tena? Waisilamu wakikusikia watakukata mkono wewe!Ignorance is the greatest enemy of many MUSLIMS
Hebu rudia tena? Waisilamu wakikusikia watakukata mkono wewe!
Ibara ya 19 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 inasema kwamba "Kazi ya kutangaza dini, kufanya Ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi."
Ignorance is the greatest enemy of many... If you don't comprehand the philosophy and essence of KADH court in muslim faith you better shut up or take time to learn and then post an-informed comment.
Tunachopaswa wa Tanzania nikutokuwa na papara ya kukurupukia mambo, elimu ya sheria tu bado hatunayo je hizo SHARIA ZA KADHI tutaziwezaje? na haki ya kumtetea mtuhumiwa kwa mawakili wasio waislam haitakuwepo......lakin kama kwenye vyuo ambavyo sii vya kiislamu tumekuwa tukisoma canon law.....na islamic law kwa nin basi mtaala wa maswala ya KADHI yasiingizwe ili tuweze kupata wataalamu wa SHARIA AMBAO NI WANASHERIA?
si kuziweza tu hata kuzijua, hata nchi zenyewe za dini hiyo hiyo sharia hawaiwezi, tatizo watz ni kutaka vya bure. wanadhani wakia na shariah in operational watapata misaada mingi kutoka middle east, but it is going to be a catastrophy. Sheria yo yote duniani huendana na tamaduni za watu. ikiwa hiyo shariah hata ktk nchi za kiislamu ni ngumu kutekelezeka kwa ufasaha sisi wamatumbi tutaiweza?
ni kweli kabisa wachache ndo wamesoma tena wale wajanja waliojiunga na mission scholls kama kina kikwete nk wao hawakuogopa kusoma wenzao walisema hawawezi kusoma shule za makafiri hadi leo wako mtaani wanacheza bao na hata watoto wao wanawapeleka mda wote madrassa.hata waliosoma law ni wachache kati ya wanafunzi 210 unakuta 15 ndo wa dini yao wengineo wote wakristo na hao waliosoma law ni mawakili sijui kama ataacha uwakili akawe hakimu wa mahakama zao.hata waliosma zanzibar university washaajiriwa kitambo nani sasayuko tayari kuwa hakimu ktk mahakama yao wanayoidai? hakatwi mtu mkono hapa wajiandae vema. wasomeshe watoto wao ndo wadai mahakama na sijaelewa kwa misingi ipi wanadai maana katiba yetu inasema Tanzania haina dini hivo hakuwezi kuwa na mihimili miwili ya kutoa haki.HIvi mikoa ya pwani, tanga, lindi, mtwara nk si ndo kuna idadi kubwa ya wenzetu hawa? hebu angalia kiwango cha elimu kikoje na pia uchumi wao ukoje?
Katiba yetu
Kwa hiyo Serikali itakapotia mguu kugharamia Mahakama za Kadhi itakuwa imejiingiza kutangaza dini ya Kiislamu ambapo itakuwa ni kuvunja Katiba!
Ignorance is the greatest enemy of many... If you don't comprehand the philosophy and essence of KADH court in muslim faith you better shut up or take time to learn and then post an-informed comment.
Mi simo!!!!!!!!!!!!!!!!Ignorance is the greatest enemy of many... If you don't comprehand the philosophy and essence of KADH court in muslim faith you better shut up or take time to learn and then post an-informed comment.