Are spies made or born?

aisee, balaa balaa balaa sana de'levis
 
Punguza kunywa maji ya chumvi
 
mkuu nimekusoma sana asante aisee kwa ufafanuzi wako. you are appreciated
 
Hivi bosi wa external intelligence ya Tanzania ni nani?
hatumjui wali hatuhitaji kuwajua hao ma-boss wa TISS aisee

sisi tunajadili espionage business in a nutshell na sio kujadili utendaji kazi wa TISS

ninadhani tumeelewana mkuu
 
Mnajua external intelligence ya Tanzania ilifanya kazi gani mpaka Uganda wakasema bomba lipitie bongo?
sisi tunajadili espionage business in a nutshell na kwa ku-reflect nchi kama Israel na Marekani na sio kujadili utendaji kazi wa TISS.

All in all, none of us here have been working with those guys, so naomba tusifike huko kabisa mkuu
 
Mnajua external intelligence ya Tanzania ilifanya kazi gani mpaka Uganda wakasema bomba lipitie bongo?
Yes we know is the work of Tiss
But it still confront many difficulties

Inteligenc e international is the work under embassies and people from different international organ
 
Tamu kweli
 
Ni tamu na inapendeza, ila ninachojaribu kufikiria ni kwamba kwa teknolojia ya sasa hivi ilivyo, naona kama mbinu zote hizi za kuweza kumu-cover spy agent ni obsolete, huwezi ukazitumia tena kwa sasa hivi kwa sababu haiwezekani hata ku-detect cctv camera iliyowekwa chumbani. Kamera yaweza kuwekwa na usijue kama ipo.
 
mkuu de'levis, Makanyaga na Ramark hivi mnafikiri technological breakthrough hizi za sasa zinazopewa chapuo za kuwa na surveillance kamera ndogo kama kifungo cha shati zinaweza kuifanya idara iweze ku-neglect those outdated cold war technical maneuvers kama deadrop and the like?
 
Tisha xana JF, naomba nimuulize mkuu devil, has a kwenye swala la inflitration of spies, inchi zinazotoa uraia mfano tz kwa raia wa Mataifa mbalimbali, in kwa namna gani tunahakikisha hili halituathiri, pili kwa kupokea wakimbizi toka mataifa tofauti tz inanufaika vp interns of intelligence, tatu Nchi kama Tz ambayo imepakana na m
Tisha sana mkuu, naomba niulize, moja, hv Inchi zinazoamua kuwapatia wakimbizi zinahakikisha vp mwanya huo hautumiki kuingiza kunguru, pili Nchi zinazipokea wakimbizi zinanufaika vp na swala hilo kwenye intelligence dhidi mataifa waliyotoka, na tatu kwa Nchi zinazopakana na mataifa mengi na ambazo raia wake has a was mipakani wanafanana sana ktk mambo mengi kama vile lugha, utamaduni na hata mionekano yao, zinafaidika vp na jambo hili na zinapata athari gani kwenye swala zima la intelligence!
 
de'levis and the rest of members, kwa mara nyingine tena nimerudi na maswali yangu kama kawaida, this time around swali limekaa hivi;

Edward Snowden, kachero wa zamani wa N.S.A defected to Russia na kuanza kuvujisha zinazoitwa siri alizobahatika kuzipata for the time he was working for the agency.

Sasa, haya ma-file ama siri anazovujisha huyu Snowden, zilikuwa ni siri za Russia dhidi ya U.S.A ambazo Russia walihitaji someone worthy setting forth as a whistle blower from the american intelligence cycle, someone the world community would buy stories from without raising any doubts, ndio maana wakaweza kumshawishi huyu kachero kutoroka, kutua nchi mbalimbali kama mkimbizi wa kisiasa kama vile zuga zuga tu lakini kisha hatimaye akatinga ndani ya Moscow na kuanza kuvujisha taarifa za kuidhalilisha marekani na kuchafua taswira yake katika uso wa ulimwengu, ama unafikiri huyu Edward ni shushushu alyitetoroka kweli???!!!!!! naomba maono yako katika hili mkongwe de'levis
 
Spy are made that is why there are places they have to go to be made,if they were born spy already then there are would be no need for their schools or college.Do not mix someone's ability to influence others or creativity or being able to do extra ordinary things these things we are born with and they help make one trained spy or leader different from another though they have been trained together under the same environment.
 
asante mkuu kwa mchango wako. nimejifunza kitu kutokana na maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…