Are spies made or born?

Mmmh, bado niko macho!! Wakuu, Nasubiri maarifa kwa hamu.
 
maswali ya born or made, yananikumbusha miaka Fulani hivi nililamba O kwenye test: swali lilikuwa LEADERS ARE BORN OR MADE duuuuuuuuuuuuuuu sitasahau
 
Aqua the big boss, spies are made after being closed monitored na kuonekana kuwa wanakeri some crucial attributes kwenye tabia zao na genetic makeup kwa ujumla. if spies were only to be made nadhani T.I.S.S ama idara nyingine ile ya ujasusi wangekuwa wanaokota watu just randomly huko mitaani na pasingekuwa na ulazima wa kuwapeleka watu shule za boarding kama tabora boys ama girls au kilakala na kuwachunguza tabia zao huko kisha kuwaaprochi kwa kazi hii maalum...
 
wewe jamaa Weltmeisterschaftung ile issue ya coup de tat ya Turkey haikuwa intelligence failure but it was rather an intelligence success na vile ndio namna ilivyotekelezwa
 
Are made, but not everyone can spy..,kna sifa maalum ambazo maranying huwa haziwekwi public , ambazo hutumika kuwapata hao ambao wanaweza kuwa trained Na kuwa mahiri so hizo sifa ndizo ambazo mtu huzaliwa nazo...!!!
 
Kama unataka ujue kuwa wanazaliwa nao au wakujifunza tafuta mmoja wao alikuwa burned
 
hypothetical example on how double agents are made;

An executive assistant to a dictator, Sally, has a religious experience that turns her against him. So she quietly makes contact with a foreign intelligence agency and, to prove her bona fides, leaks a copy of a speech the dictator will give before he actually gives it. She's now a mole, and the foreign intelligence agency will do what it can to keep her where she is so that she might continue leaking.

But the dictator's own intelligence service finds out that Sally's been a mole, so he ships her children to a boarding school and threatens to kill them if she doesn't cooperate and leak disinformation to that foreign agency. Now she's a double agent, and it's up to foreign counterintelligence to figure out that their mole is no longer providing intelligence.

I WILL BE BACK
 

Je nikikataa je nn kitafuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…