Kuna kituo cha watoto yatima ambacho huwa kinatoa usalama wa taifa wengi(msije pm kuniuliza kuhusu hiki kituo maana sitawajibu) wale watoto wanakua well trained na mafunzo mbalimbali ya kiusalama kuanzia wakiwa wadogo sana hii hupelekea kuwa expatriates katika nyanja hiyo. Mfano mzuri wa jambo hili ni movie moja inaitwa SALT ya Angeline Jolie.