Are spies made or born?

Yaani hii thread inanipa hasira na matamanio ya kupeleka barua ya kazi kwa hao watu.

Napenda mno kazi hizi ila ipo siku Mungu atanipa kile nachomuomba.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Usijaribu kabisa kufanya hivyo

Sent from my Apple iPhone 7plus using Jamiiforums
 
Sawa mkuu kuna siku wataniona.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Never! Kadri unavozidi kuitamani hii kazi ndivyo na yenyewe inavyozidi kukukimbia,inakwenda kwa wale ambao hawaitaki au hawakuwahi kamwe kufikiria kufanya kazi hii!!! Amini haya ninayokwambia
Nitarudi..

Sent from my Apple iPhone 7plus using Jamiiforums
 
Kwaheri

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Infantry Soldier mambo vp? Umenitenga sana dada yako.
 
We can dig it all and share, but they still got their own to venting and recruit qualified ones according to their different security levels.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…