Are spies made or born?

Are spies made or born?

Wanazaliwa tayari wana kipaji hicho, mafunzo yao yanaifunua karama yao.
Kwasababu sifa zao tu ni za kipekee sio kila mtu anazo.

Kwa maana hiyo hata kama mtu kazaliwa spy akakosa elimu zaidi na fursa ya kukitendea kazi kipaji chake,hata katika maisha yake ya kawaida utakuta ni mtu anayeishi kiupelelezi tu na hahangaiki kujua jambo,ukiongea nae ukijikanyaga maneno kadhaa kashajua kila kitu kama mwanga.
 
Mungu ibariki Tanzania,Mungu bariki majeshi ya usalama wa Taifa.
huwezi kujua ugumu wa malezi mpaka ushike usukani.
 
Mimi swali langu la kwanza ni je, mtu anaweza kuingia kwenye hii system akiwa mtu mzima mathalani miaka 35-40 kwa mfumo wa hapa Tanzania?
Swali la pili, je, mtu anaweza kufanyiwa closely invetsigations baadae akapotezewa hata kwa miaka 5-10 na kisha akaja kuchukuliwa tena au ukiona hivyo ndo ujue ni disqualified?
 
Back
Top Bottom