Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume pesa tu! Hayo mengine ni ''added advantage'' tu!!
Sie wafupi kama funguo za starlet tunapigwa vikumbo tu.
Hahaha!! lolMimi nilikuwa sijajua kwanini ni mbishi sana. Hivi kumbe ............dah itabidi niwe mrefu ASAP.
Wewe Hus nikikukamata nakutoa visigino lol

wanaume wafupi mnajitutumua sana ili muonekane mnaexist.
Source: husninyo
Wewe Hus nikikukamata nakutoa visigino lol
Haujui kuwa watu wafupi wanatoka nduki kama niniSasa na huo ufupi wako utaweza kunikimbiza?

Duh, na ufupi wangu bora nisepe...........

cousin finest, this is your show buddy