Are tall men more desirable??

Wanawake wanavutiwa na wanaume warefu kwa sababu wanaamini wanakuwa na mashine kubwa. Hata hivyo kuna wanaume wafupi wana sub-woofer kama chupa ya pia...

haaah haaah duh mkuu umenifurahisha, sasa kwa Hashim Thabit inakuaje,kama ya punda au?
 
Hamna cha urefu wala ufupi, siku hizi mkwanja tu unabanjua unayemtak , kwishney...........

Uwezo wa kupiga game + Cash, vingine kwa maisha ya sasa ni ziada zisizo na tija!!!
 
Uwezo wa kupiga game + Cash, vingine kwa maisha ya sasa ni ziada zisizo na tija!!!
Hata ukiwa na Cash, kama we mfupi utamegewa tu!
Wanawake huwa wanaona wako secured wakiwa na mwanaume mrefu
 
Wewe naona unazidi "Kutukandamiza" tu, lakini pouwa tutavaa raizoni!.
<br />
<br />
''anazidi kuwakandamiza tu!!''... samahani muungwana unaweza kufafanua kidogo unamaanisha nini
 
Michango imenichekesha sana. Naona wapenzi wa wafupi wamechoka kutoa utetezi. Kuna mada kama hii ilitolewa kipindi fulani kama sikosei watu wengi walitetea ufupi. Leo sijuhi wamekimbilia wapi; au wamefanyia research michango iloponda na wameamua kuunga mkono hoja kwa kukaa kimya?
 

acha nichunguze maana mi pia mrefu kiaina kisha nitathibitisha kama ni true au lies ahsante kwa taarifa.
 
I like them tall. Hata akikukumbatia unajickia comfortable kwa kweli. Wafupi wanakuwaga na kainferiority complex fulani hv.
 
Wanaume warefu wasio na vitambi mambo yao yanajieleza bila kupigiwa mziki wa matangazo. Kama wana fanya mazoezi ndio kabisaaaa
Asante kwa kunimwagia sifa,mrs wangu ata.......
 
imekaa vizuri......
imekaa vizuri nini?...kwamba tall men..........hamna kitu hapo,...mimi ni mfupi sana lakn nakua na wapenzi wazuri,na hawajawahi kuniambia hayo mambo ya kutaka urefu sijui,..........hizo ni propaganda za majitu marefu bana
 
Sie wafupi kama funguo za starlet tunapigwa vikumbo tu.
<br />
<br />





Ha ha ha ha ha,Kaka umenivunja mbavu,mbona mm kijeba mwenzio na Mademu nagonga mwanzo mwisho na wananililia!!
Ningekuwa na Walet nene,ningesema labda wanaililia waleti yangu lakini sina kitu yet mademu napata!!

Kuna Mengi yanayotuunganisha,kimo ni kipengele kidogo tu!!
 
napita tu kama urefu nao nikingezo ndani ya 6 kwa 6 balaa hili
 
watu waseme yooooooooooote wanaume warefu alafu asiwe mnene ila ajae kidogo hata akikukumbatia unajisikia kitu, lakini wafupi lol! kwanza naenda nae wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…