AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Wanawake wanaojitegemea wanafananaje? na wanapatikana wapi? hata wale wanaojitegemea bado wakipata kidume wanataka nao wamkabidhi matatizo yao yote 🙂
aaah! sasa nimeelewa tatizo lako kubwa... you can not tell the difference, na hilo ni darasa jipya kabisa.